31/07/2025
'Si ulisema unampenda mtoto wetu?' Sasa basi, package ilikuja na full subscription ya ukoo wake 🙈
Leo ni birthday ya binamu, kesho shangazi ameumwa, keshokutwa kuna harusi ya cousin wa mbali.
Je, kusaidia ukoo kuna mwisho ama ni mpaka watu wa mbali waseme “huyo ni mtu wetu pia”?
Pata makala haya kwa urefu https://youtu.be/AYHaUK3kuYM