22/08/2026
JINA NI SNIPERDADREX - HII NDIO MAANA YAKE KAMILI π―π*
Watu wamekuwa wakiuliza hii jina inamaanisha nini. Sasa nawa-explain kabisaa:
*1. SNIPER*
Mtu ambaye hana haraka, hana kelele. Anavumilia, analenga, na akifyatua ni headshot moja tu. Sio kubahatisha. Ni precision, patience, na accuracy. Kwenye game ama life, mimi sifanyi drama, nafanya results.
*2. DAD*
Dad sio tu baba. Dad ni protector, ni backbone ya squad. Yule anabeba mzigo mzito, anafundisha vijana, na akisema kitu inasimama. Na pia lazima naeza kutoa dad jokes kali! π
*3. REX*
Hii ndio siri kubwa. REX ni neno la *KILATINI (Latin)* na maana yake ni *"MFALME / KING"*. Zamani Warumi walikuwa wanaita viongozi wao REX. Kwa sayansi pia, T-Rex inaitwa Tyrannosaurus Rex maana yake ni "Mfalme Mkatili wa Mijusi". So REX sio jina ya mbwa, ni cheo cha Ufalme.
*Kwa ufupi: SNIPERDADREX = The King Father Who Snipes From The Shadows.*
Mfalme ambaye ni baba wa squad, na anaua kimya kimya.
Ukiniona kwa lobby, heshimu jina. ππ―