THEE MOSES

THEE MOSES THE BILLIONAIRE✔✔

29/12/2024

👉👉👉😂😂sasa jana nilikuwa na ksh 100 nikaamua kuenda supermarket kubuy ile soda ya 70bob nikachane nayo jaba🌿 kuingia supermarket hivi mbele yangu nikapatana na ex girlfriend wangu💔akiwa na bwanake❤️
Mm nikatupa jicho kwanza kwa shopping yao nikaona ilikuwa shopping ya ksh1000 hivi💪mm kutaka kumwonyesha huyo dem time alienda akaniwacha Mungu alinibariki na mali💰 mm nilienda moja kwa moja nikachukua flat screen TV 📺 54inch ya 90K nikazunguka nayo kwa supermarket nikahakikisha huyo ex girlfriend ameniona nayo💪💪💪
Mm nikangoja wakahudumiwa wakatoka wakaenda👬
Mm nami nilirudisha hiyo TV nilikoitoa nikabuy hiyo soda ya 70bob nikatoka nikaenda zangu😂

To cut this story short leo nimeamka asubui nikapata 17missed calls za huyo ex girlfriend wangu
Ndio nadai kumpigia nimuulize alichokuwa anadai kutoka kwangu



24/12/2024

PROMOTE YOUR PAGE NOW
💯💯🔥🔥

With Guka wa nyumba kumi
11/08/2024

With Guka wa nyumba kumi

07/12/2023

Send a message to learn more

15/11/2023

K**a Kuna kitu kenyans wanaogopa ni kusoma,ushawai skia bookshop imeibiwa?

15/08/2023

Iko hivi wadau😑😔 Leo nimeamua kutembea tembea huku Nairofi😃 At least nijue Jiji vizuri🏢 nimefika mahali panaitwa Koinange Street🏢 mahali madem wamejaa sijui wanaongojea Nini🙄 Kuna mmoja aliniita🙆 Huku akiichia tabasamu Ni k**a alikuwa amenipenda tiyari au Nini?🤔 Aliniuliza Niko na Hela ngapi? Mi nikamshow "za nini?" Akaniambia k**a siwezi mind anaweza nipa raha duniani Kisha nimuachie token kiasi😉 Mi kuona jinsi mtoto alivyo m-cutie🥰 nikaona hapa nimepata wife material 😯 kule kijijini watatii😔 Kulingana na dry spell Niko nayo nikakubali😌 Nilikuwa na 10k kwa mfuko ambazo nilipata after kuuza mbuzi zangu huko Mt Elgon🏞️🐐🐐 so Hela haikuwa tatizo🙄 Nilikubali, akanipeleka Kwa room Fulani hapo🏘️ Akaniuliza ka siwezi mind kunywa juisi🧋 Mi nikamwambia alete😑 Baada ya kunywa hiyo juice sijui ni nini iliendelea😭 ila nimejipata kwa mtaro Fulani baada ya kuamshwa na maji chafu kwenye mtaro😭😭 Nimepiga mkono mfukoni ku-confirm Hela zangu😑 Hamna ata harufu ya pesa😭
Simu pia imeenda ata hii post nimepost na simu ya jamii😭🤣 Sijui ata nifanyeje..mnipe mawaidha wadau😔🙆
Follow me🙏👉THEE MOSES

Send a message to learn more

06/05/2023

Address

Grusa
Eldama Ravine

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when THEE MOSES posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share