Cambridge Radio

Cambridge Radio Cambridge Radio, Eldoret, 107.7 MHz FM

when was your last time uki fast as a youth ukaongea na God tu vifiti? ongea na mimi kwenye 0796600038 au 0736000333 nda...
23/11/2025

when was your last time uki fast as a youth ukaongea na God tu vifiti? ongea na mimi kwenye 0796600038 au 0736000333 ndani ya CAMBRIDGE YOUTH with Presenter Coz Wyne Angel from 2PM to 5PM Cambridge Radio

GOOD MORNING tumaini letu ni kwamba u buheri wa afya karibu kwenye   ndani ya Cambridge Radio  107.7FM......zungumza na ...
23/11/2025

GOOD MORNING tumaini letu ni kwamba u buheri wa afya karibu kwenye ndani ya Cambridge Radio 107.7FM......zungumza na Winslet Achieng kwa 0796600038 au 0736000333 ...jumapili ya ikoje na ungependa kina nani warauke waende kanisani?

ni kitu gani mwenzako huwa akikufanyia kwa bed huwa inaku turn on , ongea na sisi kwenye 0796600038 au 073600033 ndani y...
22/11/2025

ni kitu gani mwenzako huwa akikufanyia kwa bed huwa inaku turn on , ongea na sisi kwenye 0796600038 au 073600033 ndani ya SWALA NYETI with Triver Trojans Ke Presenter Coz Wyne Angel Dau Deng 9;30PM to 4:00AM

Hivi unafahamu nini kuhusu bendi ya Simba wa nyika?Ni mida ya   na   Prince W Walubengo 5-9PM tujifunze lingala videadly...
22/11/2025

Hivi unafahamu nini kuhusu bendi ya Simba wa nyika?

Ni mida ya na Prince W Walubengo 5-9PM tujifunze lingala videadly.
☎️ 0796600038 au 0736000333

is Reggae a lifestyle or just good music🤔🤔🤔 welcome to the weekend reggae vybes nation with Ithefu Kamzoza and Adhis Gee...
22/11/2025

is Reggae a lifestyle or just good music🤔🤔🤔 welcome to the weekend reggae vybes nation with Ithefu Kamzoza and Adhis Gee piga simu tu show what you think or comment below.
☎️ 0796600038 / 0736000333

Watoto wangu HOYEE 🤗💖?Ni wakati wa watoto CAMBRIDGE KIDS naye AUNTY HADIJAH kila siku ya jumamosi kutoka saa tatu ya asu...
22/11/2025

Watoto wangu HOYEE 🤗💖?
Ni wakati wa watoto CAMBRIDGE KIDS naye AUNTY HADIJAH kila siku ya jumamosi kutoka saa tatu ya asubuhi mpaka saa saba.
Piga simu kwenye nambari 0796600038 au 0736000333

Cambridge Radio 107.7 the turning point 254  good evening family its friday,and tonight we we are talking about somethin...
21/11/2025

Cambridge Radio 107.7 the turning point 254 good evening family its friday,and tonight we we are talking about something powerful SECOND CHANCES.

No matter what you have been through,life always leaves room for a fresh start.
From 9-30 TO 4 AM, WITH TROJAN CHERUYOT AND DAU THON.
STUDIO LINES
📞0796600038/0736000333

Hivi ni halali kwa  mwanaume kuwekwa kinyumba, yaani mke ndio anaprovide kila kitu kwenye nyumba, unadhani hili linaweza...
21/11/2025

Hivi ni halali kwa mwanaume kuwekwa kinyumba, yaani mke ndio anaprovide kila kitu kwenye nyumba, unadhani hili linaweza kuchangiwa na nini?

Ni mida ya kurejea nyumbani in style ndani ya na Prince W Walubengo na Adhis Gee 5-9 PM hapa Cambridge Radio 107.7 FM
Friday inakubambia wapi?
📞 0796600038 / 0736000333

k**a uwa unatumia pombe au kilevya chochote, unaeza kukubali kukua na mpenzi mwenye anatumia pombe  au kilevya chochote,...
21/11/2025

k**a uwa unatumia pombe au kilevya chochote, unaeza kukubali kukua na mpenzi mwenye anatumia pombe au kilevya chochote, ongea na sisi kwe 0796600038 au 073600033 ndani ya JAHAZI LA E.A with Presenter Coz Wyne Angel and Ithefu Kamzoza kuanzia 1pm to 5PM

K**a kazi yako ingekuwa muziki ungeita jina gani😊?Ni wakati wa kuchangamkia kazi naye HADIJAH YUSUF kila siku ya jumatat...
21/11/2025

K**a kazi yako ingekuwa muziki ungeita jina gani😊?
Ni wakati wa kuchangamkia kazi naye HADIJAH YUSUF kila siku ya jumatatu hadi ijumaa kutoka saa nne hadi saa saba.
Piga simu kwenye nambari 0796600038 au 0736000333.

CAMBRIDGE ALFAJIRI ndani ya Cambridge radio 107.7FM naye Winslet Achieng kuanzia 6-10am.Je, unategea ukiwa wapi?☎️ 07966...
21/11/2025

CAMBRIDGE ALFAJIRI ndani ya Cambridge radio 107.7FM naye Winslet Achieng kuanzia 6-10am.

Je, unategea ukiwa wapi?
☎️ 0796600038 au 0736000333

Good evening world welcome to cambrige radio 107.7 on our Turning point 254  Today:TOPIC IS THE THE POWER OF CHOICES.wit...
20/11/2025

Good evening world welcome to cambrige radio 107.7 on our Turning point 254 Today:TOPIC IS THE THE POWER OF CHOICES.with Trojan Cheruyot and Dau Thon .Tune in from 10 pm to 4am.
📞STUDIONLINE.0796600038*0736000333

Address

Makesembo Road
Eldoret

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cambridge Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category