Mr Mkombochi

Mr Mkombochi content creator//artist//videographer//video editor//video director//student airads college.
(6)

12/07/2025

My mother be like, "I'm talking and you are quite"
Me : But Mum
Mum: keep quiet 🤫, I,m talking and you are talking 👄🤣🤣

Mama wa githeri part 1💦🍆🍑🥳🥰Kuna siku nlijipata kwa ngori😨😰 manze sitaki sahau,,🥵🙆sa Kuna huyu mama alikua alikua anauza ...
12/07/2025

Mama wa githeri part 1💦🍆🍑🥳🥰

Kuna siku nlijipata kwa ngori😨😰 manze sitaki sahau,,🥵🙆sa Kuna huyu mama alikua alikua anauza githeri🍲 kwa barabara,,,sa ju nlikua customer wake wa karibu kila siku ,,mama akawa ananiamini 🤭Hadi sometimes anaeza kunikppeaha🤗🙈,,huyu mathe akawa anaskia vibaya akiniona nkinunua kwa wamama wengine🥵,,Sasa si tukaendelea na ucustomer mzuri,,kumbe yeye alikua na kashetani kengine ka usherati hapo nyuma ya kichwa yake,,😰Sasa siku moja chrisi akaniita niende nikuundie switch yake ju ilikua imeharibika,,,😰🥵sikua najua huyu mama ako na mzee na ako Nairobi😂,,,kitu saa Tisa mchana hapo nikaenda kumuundia🚶👨‍🔧🛠,,,manze b4 nianze kukaletwa 😰 Chapo 🍪zikapangwa kwa meza️😋nyama iko hapo kando,,kuku dry manze ni k**a kulikua na mgeni anakam🙆😋mi si nikakaribishwa,,,nikafyamba fyamba😋🥳kumaliza,,nikaunda switch,,na nikaomba huyu mama k**alipo kangi niishie🤗,,,kidogo kidogo akaniambia ,,"ebu enda uangalie ile bulb 💡 holder ya bedroom yangu🙄sijui mbona huwa inablink blink🙈",,hapo Sasa nikakataa but aliniomba 🙏Hadi nkakubali😰,,Mimi kuangalia hiyo bulb nkaona hakuna shida na hapo ndo nlianguka nikafaint,,,,,,,,,😂😂

WATCH OUT YAI LA MGANGA IS NOW OUT 🔥https://youtu.be/dDwZuOr3Zh4?si=tMUNtFafYeD0Fo3s

Ikibamba comment nilete part 2😂🙏

Continue following 👉KEVIN KUNSHOS

゚viralシ KUNSHOSnKEVIN KUNSHOSiralpage ゚viral

10/07/2025

Hao Presenters Hawanishikii Simu Zangu Hewani Nawablock Wote😏😂😂

Madem !!!.....Hauna body shaper👖👖Hauna belt ya Gucci😑Hauna pull neckHauna rubbers za ngoma za white😒😒Hauna dress ya blac...
10/07/2025

Madem !!!.....
Hauna body shaper👖👖
Hauna belt ya Gucci😑
Hauna pull neck
Hauna rubbers za ngoma za white😒😒
Hauna dress ya black fupi na kabelt😔
Hauna extension ya kuweka ukipaka gel 😔😔
Hauna cover ya simu coloured, shinny ama Lv😓😓
Slippers za manyoa hauna 🤦‍♂️
Chupa ya maji pia 🤔
T-shirt ya Dior/African hauna 🙄🙄
Tudoll shoes, crocs na ankle socks pia hutambui😛
K**a hukutaka Kua dem si ungesema🤨🤨🤷🤷.

Nilijua tu wewe si Dem wewe ni gaidi
🚶🚶🚶

09/07/2025

Wengine wakinuka bangi na pombe we unanuka chapo😡💔

Mwanaume Hafai kufanya tiktok challenges aki dance. Aki dance asijaribu kuzunguka.Akizunguka huyo ni le***an 🤣😂😂
09/07/2025

Mwanaume Hafai kufanya tiktok challenges aki dance. Aki dance asijaribu kuzunguka.Akizunguka huyo ni le***an 🤣😂😂

09/07/2025

Ukipea Dem ball kimakosa alafu umwaambie "pole babe"Bado hio ball Itakuwa Yako kweli??😁

09/07/2025

Sasa mother inlaw akianza kukuita kakijana anamanisha nini vane??

09/07/2025

•••K**a uko na picha yangu bila mrija delete nikutumie latest version 😂😂🤲

  KUNA KITU MPYA INAKAM🔥👑
29/06/2025

KUNA KITU MPYA INAKAM🔥👑

Nimetoka Kwa ex😐😐sahi ju nakuwanga na spare key, nimemwaga maji kwa bed na viti plus ndani ya woofer na suitcase ya mang...
07/06/2025

Nimetoka Kwa ex😐😐sahi ju nakuwanga na spare key, nimemwaga maji kwa bed na viti plus ndani ya woofer na suitcase ya manguo, nimechukua nguo huwa zinatoka rangi na za white nimechanganya na nika soak. Alafu nimefungulia maji kwa sink na bafu nikawacha ikirun, nimefungua gas itoke polepole na kuchanganya sukari, majani, unga, mchele na chumvi nimemwaga mafuta ya mboga kwa mlango. Siwezi waste time yangu kumdate for 3 years😭😭 na ananiacha🥱🥱🥱🥱💔💔atleast sai naskia vizuri kidogo.🤗🤗😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂watch out 😂 😂 😂PENZI LA MGANGA EPISODE 2 IS NOW OUT 🔥 🔥 🔥 👑 https://youtu.be/m8BThPqUekU?si=OlZhzhFyVVrzakEh

06/06/2025

MWENYE AKO NA LINK YA KAZI MTAANI AOKOLEE WATU KINDLY ✅

Address

Eldoret

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Mkombochi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share