25/08/2025
𝐍𝐄𝐄𝐌𝐀 𝟐𝟔𝐓𝐇 𝐀𝐔𝐆𝐔𝐒𝐓 𝐖𝐑𝐈𝐓𝐓𝐄𝐍 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Najua inakubore but itabidi tuwatch tu hadi iishe wakuu! Weka Like k**a umepata updates
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Mark alikuja akaambia Neema unajua aje,pole niliwaficha but sikutaka Amani ajue,but ukweli ni its Rachael ndio ameua Isaacm,nimeona footage. Neema alishtuka sana. Neema alishangaa sana k**a Rachael alimuua Isaac, iweje na walikua wanaungana kutuumiza sisi. Kinabaki kitendawili sana. Neema aliambia Mark itabidi Amani ameambiwa lakini Mark alimwambia zii,he doesnt need to know,yafaa nifanye uchunguzi nijue kwanza before anything else.
Wakiwa hapo,Eddy akamcall Neema but ju ya network,hawakuelewana na Neema akahung up...Eddy akiwa tu amekaaa,Karen akarudi akapata mwanaume akiwa stressed sana akamuuliza shida ni nini tena? Eddy akamwambia ni Neema,amenikatia simu sijui mbona. Eddy akaona,hatakaa tu ndee,ataenda penye Neema wako ajue shida ni nini amehung up.
Huh 😂😂Derrick bado anapanga mikakati akiwa na Val venye watawin Jojo na Amani na already washabook rooms. Derrick amechukua room moja ati na Jojo alafu ingine ati Val aende hapo na Amani 😂😂😂wataweza kweli? Lets see venye watakacheza.
Derrick alikuja kwa room ya Amani,akadrop kanote hapo na amesema kuja room 306, alafu cheki venye walikachora,kwa hii note yenye Amani amepewa imeandikwa ati ni Jojo amemuita kwa room.
Kisha Val pia,akaandika kanote akapelekea Jojo akatupa kwa mlango na kwa note ameambia Jojo aende kwa room 307 na ameitwa na Amani.Sasa Amani anakuja room 306 kukutana na Jojo as per the note alafu Jojo anakuja room 307 kukutana Amani as per the note. Walifurahia sana but hawana habari,ni games za Val na Derrick 😂😂😂
Sasa kuna shida hapa, Val alisahau room yafaa aalike Jojo,badala ya room 306, akaandika room 307 yenye Amani anakuja hapo 😂😂😂Kisha tena Val akitoka aliitwa na mamake,kumbe kuna jamaa Sharon ametafuta ati awe mpenzi wa Val,jamaa anaitwa Zacharia 😂😂😂Ni mzee mkubwa but ako shy! 😂Val ndio anashindwa hizi ni mawhat tena?
Ajabu ni kuwa, Amani na Jojo walijipata same room,na haikua iwe hivi,ilikua Jojo aende room 306 but Val akasahau akaandika room 307,which is same same room yenye Derrick aliandikia Amani akuje hapo akutane na Val 😂😂😂😂
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Amani na Jojo washaingia kwa room,sasa Amani anadhani Jojo ndio ameandaa akila kitu and again Jojo anadhani ni Amani ameandaa kila kitu,hawana habari wanakula vitu si zao 😂😂😂Walipata chakula kiko hapo wao wakaanza kukula 😂😂
They decided to solve their differences na warudi kawaida venye walianza. Ahaa! Jojo hangekataa akamwambia I still love you,hadi wakahugina hug ingine tight hapo.
Ona Zacharia sasa..huyu ndio ameletwa ati kuwa mpenzi wa Val 😂😂alafu jamaa anakaa fala fala tu! He seems hayuko ok kiakili,hawa ni wale wanaume wenye wakipata dem in-laws wanapenda sana msichana ju wanajua kijana yao waya k**a tatu hivi haziko sawa. Val aliambia Zacharia sikiza ama sijui macharia...sitaki kuolewa sai 😂😂😂woiye Zacharia.
Val alikaa akaona huu ni ujinga,alisomea mamake akamwambia sikiza,wakati wa kupangia ndoa ulipitwa na wakati kisha akaambia Zacharia,wewe na wewe,tafuta mtu wa kuoa si kutafutiwa mtu wa kuoa. 😂😂😂ona venye Zacharia kinacheka cheka 😂😂😂Sharon anajua kwa kian Zacharia wako na mali na yeye anatarget mali.
Hawa na wao wakiwa kwa room,Amani na Jojo,walikaa wakaona unaonaje tugonge hiyo kitu..lakini punde si pundei,ndio Val anakuja,akaona ju aliandika room 307,acha aingie room 306,kumbe Derrick na yeye,ametime mwenye yafaa aingie room 306 ni Jojo sasa Val kuingia,Derrick akafunga mlango akajua baaasi Jojo ashaingia lakini mwenye ameingia si Jojo,ni Val 😂😂😂😂
Val aliita Derrick akamwambia acha ujinga,mbona unanifungia? Derrick akashindwa haya,kwani si Jojo tena? Akafungua.Val akajam akataka kumpiga,akamuliza mbona umfungie mlango? Derrick akamwambia wee si nilidhani ni Jojo ama? Val akamwambia zii,mimi yafaa niingia room 306. Derrick akamwambia noo,yafaa uingie room 307. Hapo ndio wakarealize,washaconfuse rooms na already room 307 Jojo na Amani wako huko 😂😂😂
Turudi kwa Amani na Jojo. Jojo anaambia Amani,naona uliandika rukuje room 307,so what next? Amani akamwambia aah si niliona umeniandikia ukasema nikuje hapa..Jojo akasema zii,mimi sijaandika anything,nimekuja hapa ju ulisema nikuje hapa lakini Amani akamwambia mimi hakuna kitu nimeandika,niwewe uliniandikia ukasema nikuje hapa 😂😂😂Jojo akajam tena wakakosana.
Val na yeye kuona deal imeenda mrama,alisinywa sana hadi anaambia mamake waende tu nyumbani.
Amani na Jojo washakosana tena ju Jojo thinks its Amani who planned all this but again Amani thinks its Jojo who planned na hivyo wakakosana tena 😂😂😂
Hadi kesho majaliwa.