Kiprono Captain

Kiprono Captain Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kiprono Captain, Eldoret.
(7)

๐Ÿ๏ธWelcome To The World๐ŸŒOf Entertainments ๐Ÿ•๏ธ.
๐Ÿ๏ธ If you're not following me you're probably never going to see me again.
๐Ÿ๏ธTikTok ๐Ÿ‘‰ "kiprono85captain"
๐Ÿ๏ธSubscribe to my YouTube chanel https://www.youtube.com/-b4l

31/08/2025
Hii redio inanikumbusha school broadcasts na wewe je
31/08/2025

Hii redio inanikumbusha school broadcasts na wewe je

...SAFARI ZA USIKU...๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ขSehemu ya TATU. (Episode 3)  ......... ๐Ÿ’–๐Ÿ˜ข๐ŸšŽ๐ŸšŠ๐Ÿš‰๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ’–Ghafla tukasikiakicheko Cha fisi kutoka kwenye in...
31/08/2025

...SAFARI ZA USIKU...๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข
Sehemu ya TATU. (Episode 3)
......... ๐Ÿ’–๐Ÿ˜ข๐ŸšŽ๐ŸšŠ๐Ÿš‰๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ’–

Ghafla tukasikiakicheko Cha fisi kutoka kwenye injini ya Basi. Tukatazamana na Juma. Nikamwambia Juma tukaze moyo tuendelee na Safari. Kilomita chache mbele, nikapitia vioo vya nyuma. Nikakuona kivuli Cha mtu kimeketi kwenye siti ya mwisho lakini abiria wote walikuwa mbele. Juma akanongona, "Musa, umekiona hicho?" nikamwambia nimekiona kaka. Tusionyeshe hofu . Kisha tukasikia sauti ya mtoto mdogo akilia, "mama! Kuna mtu kasimama pale nyuma. Ananitisha. Anakunja ndevu".

Mama alipogeuka hakukuwa na mtu. taa Za ndani zikaanza kuzima Moja baada ya nyingine. Mara taa Za mbele nazo zikaanza kufifia . Ghafla sauti ya mtu ikaanza kucheka Kwenye spika ya redio . Lakini redio ilikuwa imezimwa. Basi likaanza kuyumba k**a vile tairi Moja limepata puncture. Nikalisimamisha.

Tuliposhuka kukagua matairi, kila kitu kilikuwa salama. Niliporudi, Juma hakupanda kwenye basi. Akageuka Kwa hofu, "Musa!, Kuna mtu ameniongelesha kutoka juu ya kerio ya mizigo. Anasema je? mpo tayari kurudia kwa mlango mlioupita wakati wa Kuja duniani?."Tukaendelea.

Tukafika mahali ambapo lilitutisha. Barabarani kilikuwa na kinyesi na mawe madogodogo yamezungushwa mduara . Na harufu ya kitu kilichooza kilijaa ndani ya basi. Watu wakalalamika. Vioo vikafunguliwa. Harufu haikuondoka. Juma akarudi mbele na kusema, "Kuna kitu juu ya basi kinatuangalia." Nikapandisha kioo Cha kuangalia juu. da! kitu Cha ajabu sana. mama Moja amefaa manguo ya ajabu sana.

Amekaa k**a myama anayefifia. yaani pamoja....

To be continued

Je stori hii imekufurahisha? Nikuletee mwingine au nimboreshe zaidi? anyway usiende tu ivo ukiwa umeboeka kuja Kwa profile yangu pitia izo stories nimepost na unifollow tu roho Safi. Call me and have a good night ๐Ÿ’– โœ”๏ธ

๐Ÿ’–Feelings For Profit ๐Ÿ’–Part 3
31/08/2025

๐Ÿ’–Feelings For Profit ๐Ÿ’–
Part 3

Stay tuned;๐Ÿ’–Safari Za Usiku๐Ÿ’– Episode 3 is about to come
31/08/2025

Stay tuned;๐Ÿ’–Safari Za Usiku๐Ÿ’– Episode 3 is about to come

My Handwriting ๐Ÿซถ๐Ÿ˜ณ
31/08/2025

My Handwriting ๐Ÿซถ๐Ÿ˜ณ

Watu ni  wazimu huku kwa zukabaga๐Ÿ˜‚
31/08/2025

Watu ni wazimu huku kwa zukabaga๐Ÿ˜‚

God bless our daddy's Amen๐Ÿ™๐Ÿ™
31/08/2025

God bless our daddy's
Amen๐Ÿ™๐Ÿ™

๐Ÿ’–Feelings For Profit ๐Ÿ’–Part 2
31/08/2025

๐Ÿ’–Feelings For Profit ๐Ÿ’–
Part 2

...SAFARI ZA USIKU...๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ขSehemu ya pili. (Episode 2)  ......... ๐Ÿ’–๐Ÿ˜ข๐ŸšŽ๐ŸšŠ๐Ÿš‰๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ’–Kwa mbali taa za basi jingine zikaonekana lakini ...
31/08/2025

...SAFARI ZA USIKU...๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข
Sehemu ya pili. (Episode 2)
......... ๐Ÿ’–๐Ÿ˜ข๐ŸšŽ๐ŸšŠ๐Ÿš‰๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ’–

Kwa mbali taa za basi jingine zikaonekana lakini basi Hilo lilikuwa taratibu mno. Nikapiga jijo vizuri,ni Banka Express. Linafanana na basi langu Kila kitu. Kioo Cha mbele kina mbasuko ule ule k**a wangu. Namba ya gari ni Ile Ile, na dereva ni Mimi mwenyewe. Najiona kabiza ni Mimi mwenyewe.Juma akauliza Kwa sauti ya hofu, "Musa! Hilo si basi letu? kabla sijamjibu, basi like likatoweka k**a moshi.

Tulipofika Mufoni tukakuta askari wanakagua mabaki ya ajali. Nikapata mmoja nikamwuuliza, kulitokea nini hapa? akasema basi limepata ajali mbaya sana. Tulipigiwa simu saa Moja iliyopita. Nikapiga macho. Basi lile lile, Banka Express lililotupita. Dereva ni mimi, Konda ni Juma. Hilo basi lililopata ajali ni sisi wenyewe. Au mbona k**a sielewi? tuliondoka kimya kimya. Safari ikaendelea. lakini haikuwa Safari ya kawaidha.

Baada ya muda, tulifika kituo kimoja. tukawa tunabakia abiria waliochelewa. Mzee mmoja alisita kupanda basi letu. akatutazama sana. Alafu akasema Kwa sauti nzito, "Msiruhusu mtu kushuka Wala kupanda njiani hasta akilia, hata akisema ana shida. Tukatazamana na Konda wangu kisha tukataka kumwuuliza, Tukakuta hayupo. Hakukuwa na mtu Tena.

Ghafla tukasikiakicheko Cha fisi kutoka kwenye injini ya Basi. Tukatazamana na Juma....

๐Ÿ’–Feelings For Profit ๐Ÿ’–Part 1
31/08/2025

๐Ÿ’–Feelings For Profit ๐Ÿ’–
Part 1

Good Sunday morning beautiful souls!!! May the joy of the Lord be yours today and everyday!!! Have a wonderful and bless...
31/08/2025

Good Sunday morning beautiful souls!!! May the joy of the Lord be yours today and everyday!!! Have a wonderful and blessed day and find time to give God some of your time, He gives us so very much!!! May God forever bless and keep you in perfect peace and contentment always!!!!!

I love you all๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿฅฐ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ˜Š๐Ÿ’•๐Ÿ’๐Ÿ’–โค๏ธ๐ŸŒนโš˜๏ธ๐ŸŒท๐Ÿ’๐ŸŒž๐ŸŒž๐ŸŒž๐ŸŒž๐ŸŒˆ๐ŸŒˆ๐ŸŒˆ๐ŸŒˆโ˜•๏ธโ˜•๏ธโ˜•๏ธโ˜•๏ธ๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท๐Ÿ˜ท

Address

Eldoret

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kiprono Captain posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kiprono Captain:

Share