Jimmiez Mutua

Jimmiez Mutua Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jimmiez Mutua, Digital creator, Eldoret.

I'm now verified
12/03/2026

I'm now verified

THE WORLD AGAINST ME 😭💔
29/07/2025

THE WORLD AGAINST ME 😭💔

Kuna friendz siwezi sahau wallae,,,, mko wapi my friends
30/09/2024

Kuna friendz siwezi sahau wallae,,,, mko wapi my friends

16/09/2024
01/09/2024

😭😭Umechukua Mtoto wa mtu akiwa Mrembo👸na shape ya kuvutia😋akaacha Wanaume wako na pesa akaja kwako coz anakupenda💕na kukuhurumia pia🙊na wewe ukampromise hutawai mpiga👊akajiachilia kwako na kukuzalia watoto😘😘Kwa sababu ya maisha akaanza kuchapaa na kuchakaa: wewe kuona hivio ukaanza kumtesa😡😡Mbona hukumtesa akiwa angali mrembo akiwa kwao!!..
Wanaume hii ni mbegu unazaa Kwa familia Yako 😒😶ebu jiulize mtoi wako msichana atakapooleka Kisha aanze kupitia hayo mama yake anapitia utasikia aje? 😱😱

Wanaume tuwe na akili mwanamke hapigwi Kwa mangumi👊anapigwa Kwa njia ingine!! Apigwe hii🍆👈 ama na pesa,,na ukiona mwanaume anapiga Mwanamke jua kazi ya kitanda imemshinda😂😂😂😂anaanza kuleta vikwazo Sasa😂😂tunawajua sana Wacha kuwa binadamu mwenye roho ya kiunyama ,,, Bali kuwa mnyama mwenye akili za kibinadamu !! Mfanye Mwanamke akuheshimu ila si akukuogopa k**a simba🚶🚶🚶🚶🚶🚶
Ni hayo tu na mungu awabariki 🙏🚶🚶🚶🚶and follow jimmiez mutua guys

just money nothing else
21/08/2024

just money nothing else

Address

Eldoret

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jimmiez Mutua posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share