16/11/2025
Nimeskia wakiuliza kwanini Riggy G anakuja Mbeere na hana candidate mimi niko na candidate, Karish. Wewe Ruku k**a hujui, watu wa Mbeere walinipigia kura k**a Deputy president. Huyu Deputy President mwingine ni bandia, mimi niko hapa k**a Deputy President ambaye alichaguliwa na raia.