Official_kiddo Afrikana

Official_kiddo Afrikana East African artist♦️Visiual storyteller♦️Film Director/Editor

Listen to Remix On Digital platform🔥
(6)

17/08/2025

Nahurumia Man U sasa 😂😂💔Team ya Wamama aka Team Mdomo

15/08/2025

Mimi na Mhesh Darweish Tuko sawa sasa 💯👊

15/08/2025

Kijana mnaona ako depressed anaoa next year 😅
Kwa harusi yangu wanaume hawaruhusiwi kuhudhuria...😅💔

15/08/2025

Mungu akujalie Shufaa ya Haraka Mamtu🙏. Mi naumwa ukiumwa hapa nilipo sina Raha 🥲🥲.

QUICK RECOVERY WIFE ❤️ Maggy Maggy

Sasa kulala sahii ni kitu ya kufanya Maggy Maggy aniite kuku 🤔🤔sijapenda adhabu yake ataipata nikizima taa 😂😂😂😂😅💔.Mlale ...
14/08/2025

Sasa kulala sahii ni kitu ya kufanya Maggy Maggy aniite kuku 🤔🤔sijapenda adhabu yake ataipata nikizima taa 😂😂😂😂😅💔.

Mlale poa Watu wangu wa nguvu 🥰💪💯

Huyu admin akujie soda hapa mtwapa police station 🤣🤣💔mi nimesema saa ngapi 🤣💔
14/08/2025

Huyu admin akujie soda hapa mtwapa police station 🤣🤣💔mi nimesema saa ngapi 🤣💔

Kiddo Africana Ajigamba Amesema Yeye Ndie Msanii Handsome Kuwahi Kutokea Tana River, Amesema Wanawake Wanamfananisha Na Diamond Platinums

8 more episodes to go🔥💯
14/08/2025

8 more episodes to go🔥💯

Mimi naye ni k**a diamond platnumz kusahaulika ni ngumu 😅🤣💔nisipotajwa na mpenzi mpya basi itasemekana nimeacha mziki ni...
14/08/2025

Mimi naye ni k**a diamond platnumz kusahaulika ni ngumu 😅🤣💔nisipotajwa na mpenzi mpya basi itasemekana nimeacha mziki nimekua mvuvi na mahasidi wangu watafurahi 🤣🤣. Lakini niko na swali unatoa wapi nguvu ya kuchukia kijana mpole na handsome hivi ? Enyewe waacheni wajibambe.

Niko na announcement NEXT month Natoa video moja heavy 💯🔥.

SIKU NIKIFA SITAKI ,DARWEISH ASIHUDHURIE MAZISHI YANGU NA WALA SITAKI MCHANGO WOWOTE ,IKIWA NITAFIA MBALI NA NYUMBANI NA...
14/08/2025

SIKU NIKIFA SITAKI ,DARWEISH ASIHUDHURIE MAZISHI YANGU NA WALA SITAKI MCHANGO WOWOTE ,IKIWA NITAFIA MBALI NA NYUMBANI NA ISHINDIKANE MIMI KUFIKA NYUMBANI FAMILIA INIZIKE NILIPOFIA.

WATU WASIPIKE PILAU💯MANENO YANGU YAKUMBUKWE.

Ati naskia huko mtaani TANA RIVER Gossip CLUB wanasema nimeshindwa na mziki narudi kuwa mvuvi 🤣🤣💔huko kwenu wanasemaje k...
14/08/2025

Ati naskia huko mtaani TANA RIVER Gossip CLUB wanasema nimeshindwa na mziki narudi kuwa mvuvi 🤣🤣💔huko kwenu wanasemaje kunihusu?

20•08•2025 🔥💯MARK THIS DATE
KIJANA WA MELODIES

Address

Hola

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+254746332728

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Official_kiddo Afrikana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Official_kiddo Afrikana:

Share