Imani radio 90.3 Tana River

Imani radio 90.3 Tana River Imani Radio is a Christian radio station that broadcasts from TANA RIVER. It is on air 24 hours

HAPPY LABOUR DAY
01/05/2024

HAPPY LABOUR DAY

Aliyekuwa waziri wa fedha Ukur Yattani amek**atwa, kwenye zoezi lililoendehwa na maafisa wa kupambana na ufisadi nyumban...
24/04/2024

Aliyekuwa waziri wa fedha Ukur Yattani amek**atwa, kwenye zoezi lililoendehwa na maafisa wa kupambana na ufisadi nyumbani kwake Nairobi na Marsabit.
Kuk**atwa kwake kunajiri baada ya maafisa hao wa upelelezi kutoka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kufanya msako mkali katika nyumba yake na ya Gavana wa Marsabit Mohamud Ali.
Yattani aliwahi kuwa gavana wa Marsabit kabla ya kuteuliwa kuwa Waziri na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
Nyumba za maafisa wakuu kutoka kaunti hiyo pia zilivamiwa.
EACC iliithibitishia kwamba Gavana huyo wa zamani yuko chini ya ulinzi wao na atapelekwa katika Kituo cha Uadilifu.

mark the date, tukutane date 3rd pale imani radio. 90.3 Tana River
24/04/2024

mark the date, tukutane date 3rd pale imani radio. 90.3 Tana River

MSHUKIWA wa uhalifu aliyek**atwa akiwa na pingu amekanusha mashtaka na kuachiliwa kwa dhamana ya Sh600,000.
24/04/2024

MSHUKIWA wa uhalifu aliyek**atwa akiwa na pingu amekanusha mashtaka na kuachiliwa kwa dhamana ya Sh600,000.

22/03/2024
RAIS William Ruto Jumanne aliomba msamaha kwa kuvunja sheria na kanuni za bunge licha ya kwamba amewahi kuhudumu k**a mb...
06/03/2024

RAIS William Ruto Jumanne aliomba msamaha kwa kuvunja sheria na kanuni za bunge licha ya kwamba amewahi kuhudumu k**a mbunge kwa miaka 15.

Address

Hola

Telephone

+254792509503

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Imani radio 90.3 Tana River posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Imani radio 90.3 Tana River:

Share

Category