24/12/2025
πππππ ππππ πππ πππππππππ πππππππ
ππππ π
Hawa bado wako kwa hosi. Sabina aliambia Tinah,unaeza enda nyumbani nitakaa huku na babako. Robert alipita hapo,akaangalia Sabina na macho ingine mbaya sana na akaenda. Kuna beef kati ya Robert na Sabina ππ
Ni Asha tu hajamuona Tyrone. Asha alimwambia mum,enda ukamuone dad I will be waiting here.
Saida alikuja akajiongea akaambia Tyrone,najua Asha alikosea sana,tafadhali msamehe,k**a ni kupona tunakuombea sana upone,pigana hadi upone Tyrone we still need you. Tena tena, wakati Saida anatoka, Tyrone akafungua macho.
Saida alirudi na Asha akamwambia mum,enda tu nitakaa huku na dad but Saida akamwambia si Sabina yuko sisi twende tu but Asha akamwambia usijali,I will be ok,acha nibaki huku hata Sabina nik**a washaenda na hatuezi acha baba yetu hivyo.
Na ni kweli,Sabina na Tinah walikuja hadi nyumbani. Tinah akauliza mamake, mbona kuna sintofahamu kati yako na Robert,kwanza ukamkataza asiwe hapo tukipewa medical report,tena ya pili nikaona mnaangaliana vibaya,kuna nini mum? Sabina akamwambia wee unaoverthink tu Tinah. Punde si punde Saida pia akafika.
Sabina aliambia Saida sikiza,omba sana Tyrone asikufe ju akifa, walai utapack utoke and you will get nothing..lakini Saida pia akamwambia sikiza,omba sana Tyrone asitoke hosi akiwa mzima ju akifika tu hapa, tutaona kati yako na mimi nani ndio atapack aende bila kitu.
Sasa hapa kuna kiswahili mkuti...Saida anaambia Sabina aombe sana Tyrone asitoka hosi,akitoka kitaumana na Sabina anaambia Saida aombe sana Tyrone atoke hosi,ju asipotoka,kitaumana πππ
Talking of Tyrone,he is now ok,ashapona and within hours he will be discharged kutoka hosi...he can now talk na ako sawa sasa. Asha alikua tu pale kwa waiting room hadi usingizi ikamshika. Wakati Annaliza anapita akaona msichana hata hana sweater akampea ile kikoi akamfunika.
ππππ π
Kumbe Sabina alifuta Nabalayo kazi,sasa Tinah akakuja akamuuliza, mum shida yako ni nini? sasa Nabalayo unamfuta kazi ju ya nini? Sabina akamwambia yafaa utumie akili Tinah, tunaishi na adui wetu huku huku...kumbe Saida alisikia akakuja akaambia Sabina,k**a ni uadui ningekua nishaanza na wewe already,so please usijaribu kuniingiza kwa maneno yenu kabisa.
Tyrone aliamka akakuja akapata Asha bado kamelala,akamfunika vizuri na akamwambia sleepo well my daughter.
Kumbe Chris ni mjanja, alienda akacheza na mtoto na jioni akamrudisha,akapata ndio wakati Robert wanajaribu kuongea na makarao. Chris akawauliza shida ni nini hapa? Robert akamuuliza unaezaje kidnap mtoto wako? Chris akamwambia mimi nimetoka out na mtoto wangu tukacheza,hadi Ivy akasema my dad made my day today.
Chris akaambia Robert sasa sijui unaongelea nini...ukimaliza kuongea jitoe tunataka kulala ππkisha Chris akamwambia shida yako ni kuamini sister yako ju umemuuliza what she did? of course Jemimah hakuambia Robert.
Jemimah alikuja akaongea na kamtoto akakauliza, mlikua wapi? Ivy akamwambia tulienda out tukahave fun it was dad and daughter moment. Jemimah akamuuliza,na mlikua na aunt Celestine huko? Ivy akamwambia apana tulikua tu peke yetu.
Huku Chris alikuja akachafua rada,akaambia Robert huyu sister yako,akapigiwa simu usiku akatoka kuenda kukutana na mwanaume huko nje,alafu unataka I take it lightly? Robert hakuamini...wakati Jemimah alikuja Robert akamuuliza, Jemimah are you having an affair? Jemimah akamwambia achana na huyu ngurue,usimuamini.
Saida alimpigia Asha simu akamuuliza utalala hukoo? Asha akamwambia yeah,nitakuja kesho nangoja niona k**a dad ataamka. Asha hana habari already babake ashaamka alikuja akamfunika na akamwambia good night.
Robert na yeye alitaka sana kujua who is this guy mwenye Chris alisema Jemimah anacheat na yeye lakini Jemimah alimwambia hakuna kitu k**a hiyo na k**a umemaliza kuongea kindly enda.
Asha aliamka akakuja kwa room penye babake amelala,akapiga magoti hapo akaanz akumuombea. Hii yote,Tyrione anaona hadi anasmile anasema enyewe I have a daughter.
MEANWHILE..