Waso TV

Waso TV 𝑰𝒏𝒇𝒐𝒓𝒎𝒊𝒏𝒈 & 𝑬𝒏𝒕𝒆𝒓𝒕𝒂𝒊𝒏𝒊𝒏𝒈
Support this Channel - Till no. 9215703

https://youtu.be/Ku-cKLFvl_k
30/09/2025

https://youtu.be/Ku-cKLFvl_k

Shirika la Regional Pastoralists Peace Link, (RPPL) kwa ushirikiano na afisi ya kamishna wa jimbo la Isiolo limeandaa warsha iliyowaleta pamoja wanafunzi wa ...

https://youtu.be/ek891LPPRO0
29/09/2025

https://youtu.be/ek891LPPRO0

katika juhudi za kukuza amani shuleni na gatuzi la Isiolo, taasisi ya Al falah iliyo na shule ya msingi na madrassa ya mafunzo ya dini ya kiislamu imezundua ...

https://youtu.be/D-yNZeWJIng
06/09/2025

https://youtu.be/D-yNZeWJIng

Wahudumu wa bodaboda chini ya uongozi mpya katika kaunti ya Isiolo wataka viongozi wa jimbo hili kuelewana na kuepuka malumbano.Wakiongozwa na mwenyekiti wao...

https://youtu.be/zKqrs5JYGrw
27/08/2025

https://youtu.be/zKqrs5JYGrw

Mali ya mamilioni ya fedha imeharibiwa katika bunge la kaunti ya Isiolo usiku wa kuamkia jumatano na watu wasiofahamika , pia afisi ya katibu wa kaunti ya Is...

https://youtu.be/FNqUDygX_Co
15/08/2025

https://youtu.be/FNqUDygX_Co

Shirika la Northern Rangelands Trust (NRT) imezindua hazina ya zaidi ya shilingi milioni mia sita ambazo zilikusanywa kutokana na mradi wa hazina ya mikopo ...

https://youtu.be/Kguo6TKF56s
12/08/2025

https://youtu.be/Kguo6TKF56s

Kaunti ya Isiolo imeungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya vijana ,maadhimisho hayo yalifanyika katika uwanja wa polisi.Akizungumza kwenye maad...

https://youtu.be/taQ9JlBsceM
12/08/2025

https://youtu.be/taQ9JlBsceM

Wanafunzi bora watuzwa kwa kuhifadhi Qur'an kwenye hafla hiyo iliyoandaliwa Markaz Al-istiqaamah tahafidhul Qur'an Tulluroba Isiolo County. ...

Address

Isiolo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Waso TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Waso TV:

Share

Category