Mcee Mwas kenya

Mcee Mwas kenya Mcee🎤, content creator

THE RECEPTION OF THE CHIEF VILLAGER,AT KAYOLE
09/09/2024

THE RECEPTION OF THE CHIEF VILLAGER,AT KAYOLE

Nakumbuka nkiadmitiwa Form one,tulinunua kengele na mzae tukidhania ndio golden bells🤣🤣🤣
07/06/2024

Nakumbuka nkiadmitiwa Form one,tulinunua kengele na mzae tukidhania ndio golden bells🤣🤣🤣

Nakumbuka Kuna mtoto wa mtu alikuwa tujenge na yy familia lakini simiti ikaibiwa naisha nguvu😜🤣💔🤣🤣
04/06/2024

Nakumbuka Kuna mtoto wa mtu alikuwa tujenge na yy familia lakini simiti ikaibiwa naisha nguvu😜🤣💔🤣🤣

Rest in peace Fya mama njambi koikai💔💔Shine on your way
04/06/2024

Rest in peace Fya mama njambi koikai💔💔Shine on your way

Just one day,God will fulfill our desires,he will quench our thirst,and feed us with greener pastures,,,,At kitiri pri f...
29/05/2024

Just one day,God will fulfill our desires,he will quench our thirst,and feed us with greener pastures,,,,At kitiri pri for a comedy show

Chemistry nayo ilituchocha💯what was tetra-2-polypornography🤣🤣
24/05/2024

Chemistry nayo ilituchocha💯what was tetra-2-polypornography🤣🤣

Githurai ni noma unaiba simu kwa gari ukishuka ndio unarealize ni ilikuwa Yako 🤣🤣🤗
23/05/2024

Githurai ni noma unaiba simu kwa gari ukishuka ndio unarealize ni ilikuwa Yako 🤣🤣🤗

Bado huwa unavisit the poor during leisure time,ama ni saa hii ni wewe huyo the poor??😜😜😜🤣🤣
22/05/2024

Bado huwa unavisit the poor during leisure time,ama ni saa hii ni wewe huyo the poor??😜😜😜🤣🤣

Work harder nobody cares..
21/05/2024

Work harder nobody cares..

Jana nmenosebleed kwa mjengo foreman akaniuliza Nani amenipea kazi ya kupaka rangi🤣🤣👐
20/05/2024

Jana nmenosebleed kwa mjengo foreman akaniuliza Nani amenipea kazi ya kupaka rangi🤣🤣👐

Unapatia mtu advice mpaka unajiambia enyewe nikitumia hii advice nitaenda mbali🤣🤣
17/05/2024

Unapatia mtu advice mpaka unajiambia enyewe nikitumia hii advice nitaenda mbali🤣🤣

Gotha!!Gotha tenaaa!!!!Lakini akili nayo hutupima,huwa unakumbuka aje ati imesahau😜😜??? wazito Naomba tu support our ver...
07/05/2024

Gotha!!Gotha tenaaa!!!!Lakini akili nayo hutupima,huwa unakumbuka aje ati imesahau😜😜??? wazito Naomba tu support our very own Dj DjDj Kamoko 254y voting for him as the best Dj of the year, follow the simple steps to vote..

Address

Juja

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mcee Mwas kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share