The Bonnie Media

The Bonnie Media B.M MEDIA based at Kilifi, Mombasa, Kenya, East Africa.

📞: +254115000629

HABARI ZA SASAKuna ajali pikipiki imetokea asubui pale Mferejini , Kijipwa.Kulingana na vianzo pikipiki hiyo ilikuwa ime...
26/05/2026

HABARI ZA SASA

Kuna ajali pikipiki imetokea asubui pale Mferejini , Kijipwa.
Kulingana na vianzo pikipiki hiyo ilikuwa imebeba watu watatu, wawili wamenusurika wakatimbizwa hospitali ya Kilifi mmoja amepoteza maisha papo hapo.

23RD/APRIL/2026.NEWS HEADLINES, KENYA NEWSPAPERS, EAST AFRICA.
23/05/2026

23RD/APRIL/2026.

NEWS HEADLINES, KENYA NEWSPAPERS, EAST AFRICA.

04Th/May/2026.News Highlights, Kenya Newspapers,  East Africa.• MT. Kenya  residents are  set to take all UDA candidates...
04/05/2026

04Th/May/2026.

News Highlights, Kenya Newspapers, East Africa.

• MT. Kenya residents are set to take all UDA candidates 2027 back home. The move has created fear and tension among politicians associated with Broad Based Government forcing them to ditch UDA in the likes of Hon Irungu Kang'ata.

Boniface Mwangala

Linda Wananchi Movement one of the ODM Party  fiction has declared GavernorJames Orengo as the Acting ODM Party Leader.
26/04/2026

Linda Wananchi Movement one of the ODM Party fiction has declared GavernorJames Orengo as the Acting ODM Party Leader.

26th/April/2026 SUNDAY. News Highlights,  Kenya Newspapers, East Africa.
26/04/2026

26th/April/2026 SUNDAY.

News Highlights, Kenya Newspapers, East Africa.

KADU Asili Party yatangaza mipango mipya kuelekea uchaguzi wa 2027.Party leader Mudzo Nzili amesema kuwa KADU Asili  kit...
19/04/2026

KADU Asili Party yatangaza mipango mipya kuelekea uchaguzi wa 2027.

Party leader Mudzo Nzili amesema kuwa KADU Asili kitagombea nafasi zote za uongozi isipokuwa nafasi ya urais pekee.

Nzili alisema kuwa KADU Asili Party iko tayari kufanya mazungumzo na mrengo wowote kuelekea uchaguzi wa 2027.

Kuboreshwa upya kwa chama cha KADU Asili Party kilicho na mizizi yake katika mkoa wa Pwani kumetafuriwa k**a mpango m'badala wa kisiasa mkoani Pwani baada ya Rais William Ruto kuagiza chama PAA kisisimamishe mgombea katika uchaguzi wa ujao wa 2027.

Picha Menza - Standard Digital

KENYA INAONGOZA KWA KUUZA PETROL BEI GALI AFRIKA MASHARIKI.
15/04/2026

KENYA INAONGOZA KWA KUUZA PETROL BEI GALI AFRIKA MASHARIKI.

15TH/APRIL/2026.News Headlines, Kenya Newspapers, East Africa.
15/04/2026

15TH/APRIL/2026.

News Headlines, Kenya Newspapers, East Africa.

13th/April/2026News Highlights , Kenya Newspapers,  East Africa.
13/04/2026

13th/April/2026

News Highlights , Kenya Newspapers, East Africa.

02nd/April/2026.News Highlights, Kenya Newspapers, East Africa. GAZETI LA TAIFA LEO Nation .Standard Digital People Dail...
02/04/2026

02nd/April/2026.

News Highlights, Kenya Newspapers, East Africa.

GAZETI LA TAIFA LEO Nation .
Standard Digital People Daily .
BUSINESS DAILY AFRICA
• Trump administration bring Kenya to limelight on corruption. Rating Kenya, heaven of corruption.

• Political Parties affiliated with Kenya Kwanza Government some has refused to hold and merge with UDA.

• Uhuru Kenyatta and Rigathi Gachagua reuniting boost political mileage to United Opposition.

Address

Kadzinuni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Bonnie Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share