Judah Radio

Judah Radio Judah Radio is a community and Christian based media outlet located at Kisaju Prayer Center along Na

Leo ulimwengu unaazimisha siku ya Mtoto wa Afrika Je Jamii inaelimu Gani kuhusu siku hii ongea nami kwa comment yako  .N...
16/06/2022

Leo ulimwengu unaazimisha siku ya Mtoto wa Afrika Je Jamii inaelimu Gani kuhusu siku hii ongea nami kwa comment yako .Ndani ya show ya Jiachilie.Niambie k**a umewai pata elimu kuhusu siku hii

12/05/2022

Leo ni siku ya wauguzi sisi k**a Judah Radio tunapendana kuwapogeza wauguzi wote ulimwenguni kwa kazi zuri nursing Day #

http://www.judahmediagroupltd.comKaribuni kwa online Redio kwa wale wako mbali na sisi
12/05/2022

http://www.judahmediagroupltd.com

Karibuni kwa online Redio kwa wale wako mbali na sisi

Judah media group Your Number One Trusted Christian Network. Created to inspire, nature, edify and encourage one another with the word of God. Listen Live Learn More Apostole Pamela Bii Founder Word Of The Day From Apostle Pamela Bii “The secret of the Lord is with them that fear him; and he will ...

Bwana Asifiwe Mpendwa   Karibu katika ya Saa ya Faraja Ndani ya Judah Radio ukiwa Nami  Haleluya Yesu yuko hai Bwana Yes...
07/04/2022

Bwana Asifiwe Mpendwa Karibu katika ya Saa ya Faraja Ndani ya Judah Radio ukiwa Nami Haleluya Yesu yuko hai Bwana Yesu Amefufuka Matthew 16:18
[18]And I say also unto thee, That thou art Peter, and upon this rock I will build my church; and the gates of hell shall not prevail against it.
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda

08/03/2022

Ni Siku Njema Bwana amenifanya katika Maisha yetu Ndio Maana hapa Ndani ya Judah Radio.Tunawatakia kinamama wote Duniani Siku Njema ya kina Mama ujumbe wetu Tunawapenda sana

Show Jiachilie Ndani ya Judah RadioUkiwa Nami   wetu leo ni Je k**a mzazi mlezi umejipaga vipi kuwapokea watoto wanao Ru...
01/03/2022

Show Jiachilie Ndani ya Judah Radio
Ukiwa Nami wetu leo ni Je k**a mzazi mlezi umejipaga vipi kuwapokea watoto wanao Rudi nyumbani kutoka shuleni maana likizo ni ndefu kweli

Je ni nini sahii cha kufanya ili kuondoa Taharuki kwenye Jamii zetu kuhusiana na Watu kujiuwa na wengine kuuwawa...Sema ...
25/01/2022

Je ni nini sahii cha kufanya ili kuondoa Taharuki kwenye Jamii zetu kuhusiana na Watu kujiuwa na wengine kuuwawa...Sema nasi Ndani ya Judah Radio show Jiachilie ukiwa nami

Mjadala wetu jioni hii ya Jiachilie Ndani ya Judah Radio ni Je kipi kigumu sana1.kumsahau Mtu uliyempenda2.kumwamini ten...
18/01/2022

Mjadala wetu jioni hii ya Jiachilie Ndani ya Judah Radio ni Je kipi kigumu sana
1.kumsahau Mtu uliyempenda
2.kumwamini tena mtu Aliyekutenda Guantai ,tusms kupitia 0713999333

Karibu katika Jiachilie na Judah Radio # chagia Mjadala wetu wa leo Je Ni vyema mwanaume kufanya majukumu ya nyumbani Ya...
07/01/2022

Karibu katika Jiachilie na Judah Radio # chagia Mjadala wetu wa leo
Je Ni vyema mwanaume kufanya majukumu ya nyumbani Yale ambayo yangefanywa na mwanamke na Humphrey Guantai Sms no 0713999333 pia unaweza kutupigia kupitia nambari hiyo hiyo

Ni masaa ya mjadala tena katika Jiachilie show, je unaweza kumpata Bibi katika mtandao ama online dating? Ungana na   na...
06/01/2022

Ni masaa ya mjadala tena katika Jiachilie show, je unaweza kumpata Bibi katika mtandao ama online dating?
Ungana na na Humphrey Guantai pamoja na June kanini wakuburudishe.

Ni wakati wa show ya Jiachilie na kijana wa kazi Moses na Humphrey Guantai.Leo katika mjadala tunaangazia madhara na fai...
06/01/2022

Ni wakati wa show ya Jiachilie na kijana wa kazi Moses na Humphrey Guantai.
Leo katika mjadala tunaangazia madhara na faida za Matandao/teknolojia. Tuambie mtandao umekufaidi aje?

31/12/2021

Ibada ya kuvuka mwaka acha Bwana akatawale katika Maisha yako

31/12/2021

Bwana Asifiwe msikilizaji wetu ,kwanza Napenda kutoa shukurani kwa wote ambao wamekuwa pamoja nasi kusikiliza na kutufwatilia tangu tulipo Aza huu mwaka mpaka kufika sasa tunaenda kumaliza mwaka nasema Bwana akawabariki zaidi na zaidi akakupatie itaji la Moyo wako Daima milele na Tunapo vuka mwaka tukavuke mwaka na furaha ,kicheko maana kuna ushidi mbele yetu maana Bwana ameanda ushidi mbele yetu aijalishi umepitia mangapi ila jua wewe ni mshindi maana huu hai mpaka sasa Barikiwa zaidi NEW YEAR MPENDWA

19/11/2021

Happy international Men's Day karibu Ndani ya Jiachilie na Karibisha wawili Lunch poa Ndani ya Judah Radio Twende mpaka Tamati nami

16/11/2021

Neno la Mchana wa leo Ndani ya Judah Radio 2 Corinthians 1:4
[4]Who comforteth us in all our tribulation, that we may be able to comfort them which are in any trouble, by the comfort wherewith we ourselves are comforted of God.
atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za namna zote, kwa faraja hizo, tunazofarijiwa na Mungu.

09/11/2021

Bwana Asifiwe msikilizaji wa Judah Radio Natumaini huu mzima Bwana amekulinda haya Tukapate Neno la siku katika kitabu cha1 Peter 2:12
[12]Having your conversation honest among the Gentiles: that, whereas they speak against you as evildoers, they may by your good works, which they shall behold, glorify God in the day of visitation.
Mwe na mwenendo mzuri kati ya Mataifa, ili, iwapo huwasingizia kuwa watenda mabaya, wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu siku ya kujiliwa.Amen

Address

PBox 61827-0200 Kisaju
Kajiado
01100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Judah Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Judah Radio:

Share