Amaica Media

Amaica Media Amaica Group is dedicated to bringing the latest news, entertainment, and broadcasts straight to you. Stay connected and informed.
(2)

Listen to us on Amaica Radio 88.4MHz.

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nairobi na Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini, Philip Anyolo, ameongoza ibada ya kuweka wakf...
12/06/2026

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nairobi na Kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini, Philip Anyolo, ameongoza ibada ya kuweka wakfu Kanisa la Kikatoliki la Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta pamoja na kusimikwa kwa Masalia Matakatifu ya Mtakatifu Anthony wa Padua

12/06/2026

Gachagua-Farouk anaambia Wetang’ula, Kindiki,Joho na Oburu atawachia kiti cha urais 2032, si ni uongo?




"Waluhya hatujasahau Kasongo aliua vijana wetu kwa risasi wakati wa maandamano ya finance bill." Cleophas Malala, Naibu ...
12/06/2026

"Waluhya hatujasahau Kasongo aliua vijana wetu kwa risasi wakati wa maandamano ya finance bill." Cleophas Malala, Naibu Kinara DCP

12/06/2026

Elsie-Hii maneno ya watoto kuchoma shule ishindwe
tunataka tukuwe na mkutano tujuwe shida iko wapi




Chama cha wamiliki wa magari (MAK) kimepinga uamuzi wa NTSA wa kuwatoza madereva ada ya kubadilisha logbook za kawaida k...
12/06/2026

Chama cha wamiliki wa magari (MAK) kimepinga uamuzi wa NTSA wa kuwatoza madereva ada ya kubadilisha logbook za kawaida kuwa za kielektroniki, kikisema hatua hiyo itaongeza mzigo wa gharama kwa wananchi

Gavana wa Nakuru Susan Kihika anasema baadhi ya visa vya utovu wa nidhamu miongoni mwa wanafunzi vinatokana na hulka za ...
12/06/2026

Gavana wa Nakuru Susan Kihika anasema baadhi ya visa vya utovu wa nidhamu miongoni mwa wanafunzi vinatokana na hulka za watu wazima kutumia vurugu ili kutatua tofauti zao akiwataka wazazi kote nchini kuwa mfano bora.

Waziri wa elimu Julius Migosi Ogamba amewataka  wanafunzi wanaozua vurugu na hata kusababisha vurugu wanapoibua malalami...
12/06/2026

Waziri wa elimu Julius Migosi Ogamba amewataka wanafunzi wanaozua vurugu na hata kusababisha vurugu wanapoibua malalamiko yao kutatua na kuwasilisha mapendekezo yao kwa njia ya amani.

Akizungumza katika Ikulu, Rais Ruto alipuuza madai kwamba sekta ya elimu iko katika mgogoro. Amesisitiza kuwa mfumo wa C...
12/06/2026

Akizungumza katika Ikulu, Rais Ruto alipuuza madai kwamba sekta ya elimu iko katika mgogoro. Amesisitiza kuwa mfumo wa CBC umeimarishwa na ufadhili wa elimu ya juu umeongezwa ili kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu bora na fursa zaidi za masomo.

Mradi huo unalenga kuboresha huduma za afya ya uzazi, kupunguza vifo vya mama na watoto wachanga, pamoja na kuongeza upa...
12/06/2026

Mradi huo unalenga kuboresha huduma za afya ya uzazi, kupunguza vifo vya mama na watoto wachanga, pamoja na kuongeza upatikanaji wa huduma bora za afya katika kaunti hiyo.

Mbunge wa Matungu Oscar Peter Nabulindo, amepongeza bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2026/2027 akisema imezingatia mahitaji...
12/06/2026

Mbunge wa Matungu Oscar Peter Nabulindo, amepongeza bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2026/2027 akisema imezingatia mahitaji ya wananchi na vipaumbele vya maendeleo

Address

Kakamega
50100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amaica Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share