Kakuma FM

Kakuma FM 24-hour Gospel Experience Kakuma FM is a 24- hour Christian radio station broadcasting gospel content on 91.7 frequency.

It is based in Kakuma Town and covers Turkana West subcounty and its environs. The station broadcasts primarily in Kiswahili with some programs in English, Arabic and the local Turkana language.

10/11/2025

Karibu Nyumbani mpendwa!
Unatusikiliza ukiwa wapi?

16/10/2025

Tu wasafiri Duniani!
Kwetu ni mbinguni!
Karibu Nyumbani mpendwa!

15/10/2025

Karibu Nyumbani mpendwa!
Katika majonzi na huzuni Yesu ni kimbilio.
Unatusikiliza ukiwa wapi?

09/10/2025

Karibu Nyumbani.
Tunakushukuru kwa kutusikiliza.
Uko je ulipo?

07/10/2025

Hujambo? siku yako imekuwaje?
Twakuletea mazuri kipindi hiki.
Karibu saana!

06/10/2025

Karibu nyumbani mpendwa.
Ukoje?

25/09/2025

Karibu Nyumbani Alhamisi
Tunakuletea burudani na ujumbe maalum!
Ukoje?

11/09/2025

Karibu nyumbani Alhamisi
Burudani na Ujumbe maalum!
Umeshindishwaje?

09/09/2025

Karibu Nyumbani Jumanne!
na ujumbe maalum!
Watusikiliza ukiwa wapi?

29/08/2025

Karibu Nyumbani mpendwa!
Tunafunga mwezi kwa burudani na ujumbe maalum!
Unatusikiliza ukiwa na nani?

27/08/2025

Karibu Nyumbani !
Karibu kwa burudani na ujumbe maalum!
Siku yako imekuwaje!

26/08/2025

Karibu Nyumbani mpendwa!
Twakuthamini sana!
U hali gani ulipo?

Address

Kakuma Town
Kakuma

Telephone

+254799876633

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kakuma FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category