AHO TV

AHO TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AHO TV, Broadcasting & media production company, Kakuma.

WELCOME TO ❇️AHO TV❇️
WE PROVIDE INFORMATION IN THE FOLLOWING LANGUAGES.

🌐 ENGLISH
🌐 SWAHILI
🌐 ARABIC
🌐 ZIGUA

OUR SERVICES.
✅ NEWS
✅ SPORTS
✅ ENTERTAINMENT
✅ AND RELIGIOUS EDUCATION.

📱WELCOME TO ADVERTISE YOUR BUSINESS WITH US.📱KAKUMA🇰.

05/06/2025

To All Our Muslim Brothers and sister we wish Eid Mubarak Tommorrow..

Msimuhuu uko Tofautisana kwa   Kuna Zone A na Zone B.Angalia Table alafu useme umeiyona Timu Yako pendwa namba ngapi?
22/05/2025

Msimuhuu uko Tofautisana kwa Kuna Zone A na Zone B.
Angalia Table alafu useme umeiyona Timu Yako pendwa namba ngapi?


SERIKALI YA TANZANIA YAUFUNGA MTANDAO WA "X"Serikali ya Tanzania Imeuzima Mtandao wa Kijamii wa "X" zamani ( Twitter) ba...
22/05/2025

SERIKALI YA TANZANIA YAUFUNGA MTANDAO WA "X"

Serikali ya Tanzania Imeuzima Mtandao wa Kijamii wa "X" zamani ( Twitter) baada y akaunti za Jeshi la Polisi, Airtel na CCM kudukuliwa.

Wadau Wamekuwa wakitafuta Njia ya Kuingia katika mtandao huo Bila Mafanikio.


Rais Donald Trump amemshambulia Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa jana Jumatano baada ya kumchezea video iliyoonyesh...
22/05/2025

Rais Donald Trump amemshambulia Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa jana Jumatano baada ya kumchezea video iliyoonyesha madai ya mauaji ya kimbari yanayofanywa dhidi ya wazungu na kuwafanya wakulima kukimbilia Marekani.

Trump alisisitiza kwamba wakulima weupe nchini Afrika Kusini wanalazimishwa kuachia ardhi zao na kuuawa.

Alimlaumu Ramaphosa kwa kuwaruhusu wanasiasa weusi nchini humo kuchukua ardhi kinguvu na kuwaua wakulima wazungu, bila ya kuchukuliwa hatua yoyote.

Rais Ramaphosa amekanusha madai hayo na kumtaka kujadili masuala yahusuyo ubaguzi wa rangi "kwa utulivu mkubwa,".


Kenya imekiri kwamba ilisaidia katika utekaji wa mwanasiasa wa upinzani wa Uganda katika ardhi yake mwaka uliopita.Akizu...
22/05/2025

Kenya imekiri kwamba ilisaidia katika utekaji wa mwanasiasa wa upinzani wa Uganda katika ardhi yake mwaka uliopita.

Akizungumza katika mahojiano na Televisheni ta ndani, Waziri wa mambo ya kigeni wa Kenya, Musalia Mudavadi alikiri kwamba nchi yake ilishirikiana na mamlaka ya Uganda kwenye suala hilo.


Address

Kakuma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AHO TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to AHO TV:

Share