North Rift Radio Kenya

North Rift Radio Kenya This is not an Official page for Northrift Radio. Kindly follow North Rift Radio

Nkt! Kuna team tumehurumia tu
14/04/2024

Nkt! Kuna team tumehurumia tu






Shout out to our newest followers! Excited to have you onboard! James Jnr, Festus Kiprop Rotich, W***y Kipyego, Òngeri O...
13/04/2024

Shout out to our newest followers! Excited to have you onboard! James Jnr, Festus Kiprop Rotich, W***y Kipyego, Òngeri Onkoba, Evans Rutto, Geoffrey Ruto, Delvick Torre
Be part of this beautiful family ❤️

Kuna nini huku jameni 😢 umeamkaje rafiki na shabiki wetu mpendwa?
13/04/2024

Kuna nini huku jameni 😢 umeamkaje rafiki na shabiki wetu mpendwa?



Je, huko mtaani kwenu,wodi na eneo bunge mnapata changamoto gani kupiga na kupokea simu,kutuma ujumbe? Je network unasum...
11/04/2024

Je, huko mtaani kwenu,wodi na eneo bunge mnapata changamoto gani kupiga na kupokea simu,kutuma ujumbe? Je network unasumbua?
Ni vipi tunawezatatua na kupata faida zaidi?
Karibu kwenye mpango mzima na jenerali Mark Meut
Sema nasi 0729109109/
0732344411 Sms 0711104104




10/04/2024

Hivi leo ulialikwa kula pilau popote au ulitumia mbinu gani mpaka ukafikia mlo?



Karibu sasa tuanze kazi pamoja kuanzia 8PM - 12AM ni   ukiwa naye Werö Atong'oreng Fred
02/04/2024

Karibu sasa tuanze kazi pamoja kuanzia 8PM - 12AM ni ukiwa naye Werö Atong'oreng Fred

Studioni tunaye Hon Elijah Kaseuseu  akilainisha mambo kuhusu vita dhidi ya pombe haramu na matumizi ya mihadarari miong...
28/03/2024

Studioni tunaye Hon Elijah Kaseuseu akilainisha mambo kuhusu vita dhidi ya pombe haramu na matumizi ya mihadarari miongoni mwa vijana. Je,tunapaswa kufanya nini kuwakomboa vijana?
Shule zinafungwa kuanzia leo,Kuna mikakati ipi?
He,una swali kwa mheshimiwa Ozil?
Sema nasi
☎️0729109109/0732344411
Sms 0711104104





Kumbe haya matokeo ya mwaka gani? Hiyo ilikuwa Arsenal ya kitambo,sahi ipo kwenye ubora wake. Hivi unaona washika bundi ...
15/03/2024

Kumbe haya matokeo ya mwaka gani? Hiyo ilikuwa Arsenal ya kitambo,sahi ipo kwenye ubora wake.
Hivi unaona washika bundi wakifaulu kuubomoa ukuta wa Berlin?
Atletico Madrid vs Borussia Dortmund
PSG vs Barcelona
Mechi hizi za robo fainali zitapigwa kati ya Aprili 9 na17 nayo nusu fainali ikichezwa Aprili 30 Mei 7



Hivi kando na mamako mzazi,unadhani ukipata shida mtu wa kwanza kuambia ni nani? Je,hukumu ya kifo bado inatumika nchini...
14/03/2024

Hivi kando na mamako mzazi,unadhani ukipata shida mtu wa kwanza kuambia ni nani? Je,hukumu ya kifo bado inatumika nchini?
Kumekucha na Jenerali mpaka saa nne




Everyone


13/03/2024

Nafasi ya kazi
Hivi unaamini una uwezo wa kufanya kazi ya mauzo? Tunakutafuta!
Soma na ufuate maelezo yafuatayo.
💸 Pata commissions ya 30,000Ksh au zaidi kwa mwezi kwa mauzo
📈 Fursa za maendeleo na kupandishwa cheo
🏆 Tambua mchango wako kupitia Vyeti vya Ufanisi
🌱 Changia katika kubadilisha kilimo na kukuza biashara ya kilimo

Jinsi ya kujiunga:
1️⃣ Download "Apollo for Agents" App kwenye Google Play Store- https://bit.ly/3ML1Bb8
2️⃣ Jisajili na jaza taarifa zinazohitajika
3️⃣ Jifunze kuhusu kuwa Agent wa Apollo kupitia courses kwenye learning centre
4️⃣ Hudhuria sales training karibu nawe kwa mwaliko

Pata maelezo zaidi hapa - https://bit.ly/3ML1Bb8

📍 County ambazo tunatafuta Agents: Baringo, Bungoma, Busia, Elgeyo-Marakwet, Kakamega, Kericho, Kisii, Kisumu, Nakuru, Nandi, Narok, Nyamira, Nyandarua, Siaya, Trans Nzoia, Uasin Gishu, Vihiga, & West Pokot

Hivi unaijua na kuielewaje siku ya wanawake duniani? Kitu gani hufanyika ndani ya siku hii,hivi mwanamke ana mcha gani k...
07/03/2024

Hivi unaijua na kuielewaje siku ya wanawake duniani? Kitu gani hufanyika ndani ya siku hii,hivi mwanamke ana mcha gani katika maisha yetu ya kila siku?
Jumuika nasi usiku huu kuanzia saa mbili, tuzungumze kwa undani namna ya wanawake wanapitia changamoto na jinsi ya kuwashika mkono.




Everyone


Hivi hawa unawajua? Unadhani kitu gani kimewaleta pamoja? Matokeo yake ni nini?  Everyone
26/02/2024

Hivi hawa unawajua? Unadhani kitu gani kimewaleta pamoja? Matokeo yake ni nini?

Everyone



Unadhani hapa rais alisema ni mpaka mama anafurahi hivi? Kumekucha ipo heani sasa hivi naye Gerald Mariga MjombaUmeamkaj...
26/02/2024

Unadhani hapa rais alisema ni mpaka mama anafurahi hivi?
Kumekucha ipo heani sasa hivi naye Gerald Mariga Mjomba
Umeamkaje rafiki?



Hii inaitwaje katika lugha yenu? Monday haitaki kusinzia  Everyone
19/02/2024

Hii inaitwaje katika lugha yenu?
Monday haitaki kusinzia

Everyone



Watoto ni malaika,ni marufuku kuwapiga malaika. Ukirudi nyumbani ukute hivi jioni hii, utafanya nini k**a mzazi? Pole kw...
15/02/2024

Watoto ni malaika,ni marufuku kuwapiga malaika. Ukirudi nyumbani ukute hivi jioni hii, utafanya nini k**a mzazi?
Pole kwa siku,karibu nyumbani ukifurahia utamu wa North Rift Radio Kenya


Fred Werö Atong'oreng

Leo ni siku ya redio duniani,k**a shabiki wa idhaa hii unafurahishwa na nini? Kipindi kipi kinakupunga na ni wapi tuonge...
13/02/2024

Leo ni siku ya redio duniani,k**a shabiki wa idhaa hii unafurahishwa na nini?
Kipindi kipi kinakupunga na ni wapi tuongeze nguvu?



13/02/2024

Huku kwetu miti haina maua,sioni kesho nikifaulu. Ama wewe utanunua yako wapi,bora isipite 130



Utaona tu kuna mtu hana form ya valentine's day,nunulia mwenzako japo pilipili bora ni rangi nyekundu 😂Hivi wewe umejipa...
01/02/2024

Utaona tu kuna mtu hana form ya valentine's day,nunulia mwenzako japo pilipili bora ni rangi nyekundu 😂
Hivi wewe umejipanga?



Everyone

Address

Kapenguria

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when North Rift Radio Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to North Rift Radio Kenya:

Share