Ris FM

Ris FM Safina ya burudani

29/09/2024
Ubabe wa nani mkali kati ya wasanii maarufu nchini Bongo  Diamond platinumz na kigogo wa bongo fleva Ali kiba utabainika...
11/09/2024

Ubabe wa nani mkali kati ya wasanii maarufu nchini Bongo Diamond platinumz na kigogo wa bongo fleva Ali kiba utabainika hivi karibuni.Iwapo CrownFm yake Ali kiba iliyozinduliwa machi mwaka huu itaipiku Wasafi FM yake Diamond Platnumz iliyozinduliwa mwakani 2018 miaka sita mbele ya Crown kwenye uungwaji wa wafuasi kwenye mitandao ya kijamii,basi Mfalme wa bongo fleva Ali K atabaki kidedea na kuwa jabali kwenye shughuli zima ya wafuasi yaani 'followers' ndani na nje ya Tanzania.



Mwijaku
Alikiba

20/03/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Mwinzila Mutua, Donald Chipkosia, Joseph Keter En Lalwat, Fred Wa Ngai Kwasakwasa

Address

Tengeja Lane
Kericho

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ris FM posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category