Radio Light and Life 107.3 Fm- Changing Lives

Radio Light and Life 107.3 Fm- Changing Lives Light and Life is a Christian radio station based in Kericho,Kenya aimed at offering spiritual nouri

Ni siku njema Bwana ameifanya na karibu kwenye Awamu ya Adhuhuri ya Neno na Maombi Jumanne hii tukihudumiwa na Askofu Es...
18/11/2025

Ni siku njema Bwana ameifanya na karibu kwenye Awamu ya Adhuhuri ya Neno na Maombi Jumanne hii tukihudumiwa na Askofu Esther Jepkoros Odhiambo, Amina.

MICAH 7:7"But me, I'm not giving up.I'm sticking around to see what God will do. I'm waiting for God to make things righ...
18/11/2025

MICAH 7:7
"But me, I'm not giving up.
I'm sticking around to see what God will do.
I'm waiting for God to make things right. "
Karibu kwenye awamu ya Baraka kazini naye Journalist Maganga

Kwenye kipindi cha Neno naye Pastor Wanjala tunazidi kuangazia kitabu ya wakorintho wa pili. Je umenufaika na kipindi hiki tupe maoni yako kupitia sms 0725606060.

Kumepambuzuka, Mungu wetu ni mwaminifuJe, unamkibilia Bwana Mungu ama unamkimbia?Jina la Bwana ni ngome imara, mwenye ha...
18/11/2025

Kumepambuzuka, Mungu wetu ni mwaminifu
Je, unamkibilia Bwana Mungu ama unamkimbia?
Jina la Bwana ni ngome imara, mwenye haki
hukimbilia akawa salama! Methali 18:10


Bwana Yesu Asifiwe mpendwa msikilizaji na karibu kwenye Awamu ya Adhuhuri ya Neno na Maombi Jumatatu hii,  tukihudumiwa ...
17/11/2025

Bwana Yesu Asifiwe mpendwa msikilizaji na karibu kwenye Awamu ya Adhuhuri ya Neno na Maombi Jumatatu hii, tukihudumiwa na Askofu Esther Jepkoros Odhiambo wa Family Reconcilation Ministry, barikiwa.

The joy of the Lord is our strengthDon’t let anyone steal your joy. You deserve to be happy, fulfilled, and at peace. Go...
17/11/2025

The joy of the Lord is our strength
Don’t let anyone steal your joy. You deserve to be happy, fulfilled, and at peace. God is with you — always.
Karibu kwenye kipindi cha Baraka kazini naye Journalist Maganga

Je kipindi cha neno kimekubariki?

17/11/2025

"Mwatamani, wala hamna kitu...... kwa kuwa hamwombi!" Yakobo 4:2

16/11/2025

Sifu Sunday na Wanasifu sehemu ya pili.

16/11/2025

Sifu Sunday na Wanasifu sehemu ya kwanza.

Hujambo mpenzi 2lwa lugha ashirafu ya Kiswahili. Karibu kwenye UKUMBI WA ELIMU ndani ya Radio Light and Life 107.3 Fm- C...
15/11/2025

Hujambo mpenzi 2lwa lugha ashirafu ya Kiswahili. Karibu kwenye UKUMBI WA ELIMU ndani ya Radio Light and Life 107.3 Fm- Changing Lives .
Je kifaa hiki ambocho wengi Huwa mnatia chai au vitu viowevu huitwaje kwa lugha ashirafu ya Kiswahili?....
Bingwa atatajwa mwishoni mwa kipindi.
SMS/WHATSAPP 0725606060
Upo Nami Recorbert Chepkwony
Online radio: www.radiolightandlife.org

Asubuhi njema popote ulipo mpendwa msikilizaji, karibu kwenye kipindi cha mtoto wa light and life naye aunty Edith Magan...
15/11/2025

Asubuhi njema popote ulipo mpendwa msikilizaji, karibu kwenye kipindi cha mtoto wa light and life naye aunty Edith Maganga Daniel .
Ujumbe wako kwa watoto ni upi msimu huu wa likizo?


Ni siku ya Ijumaa na karibu kwenye Awamu ya Adhuhuri ya Neno na Maombi na Askofu Dr James John. Barikiwa.
14/11/2025

Ni siku ya Ijumaa na karibu kwenye Awamu ya Adhuhuri ya Neno na Maombi na Askofu Dr James John. Barikiwa.

Ijumaa njema mpendwa msikilizaji. Karibu kwenye kipindi cha Baraka kazini naye Journalist Maganga Kina nani waingie ndan...
14/11/2025

Ijumaa njema mpendwa msikilizaji. Karibu kwenye kipindi cha Baraka kazini naye Journalist Maganga
Kina nani waingie ndani?
゚viralシfypシ゚

Address

Isaac Salat Road, Tealand Plaza 3rd Floor
Kericho

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Light and Life 107.3 Fm- Changing Lives posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Light and Life 107.3 Fm- Changing Lives:

Share