Chumba

Chumba What'sapp :0746224131
(2)

26/07/2025

Kitambo nilikuwa Nadhani dem akikutumia friend request
Anakutaka ,🤣🤣🤣

26/07/2025

☎️ NEWCASTLE WAMEJICHIMBIA KABURI WENYEWE 😂

🚨 Alexander Isak sasa anataka £300,000 kwa wiki ili kusaini mkataba mpya na Newcastle!
(Chanzo: Alex Crook)

🔒 Kumbuka, Newcastle walimpa thamani ya £150m alipohusishwa na Liverpool na sasa Isak amerudisha mpira kwa kusema.

"Basi nipe mshahara wa mchezaji wa £150m!"

A taste of their own medicine... 😂😂😂

Enyewe it went 😂😂😂
30/03/2025

Enyewe it went 😂😂😂

06/02/2025
22/01/2025
"Mimi ni mgani hapo"Wewe ni referee
20/10/2024

"Mimi ni mgani hapo"
Wewe ni referee

02/10/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Amos Wafu, Joseph Joseph Kitheka Muindi, Emma Mwaana

17/12/2023

10 Injured After Aircraft Crashes, Bursts Into Flames In Lamu

09/12/2023

Jana nimelala nikasahau kuzima red bulb asubuhi nimeamka nikidhani niko hell nimelia nikiomba😅😅😅 followTheThee chumba

07/12/2023

Sasa leo nime invite ka light skin mwingine akuje lunch🤗. Amekuja na tu light skin wengine sita, so sikufurahia. Nilikuwa tu na 500/=🙄. Wamepiga order ya Pizza, Kuku, Pilau na hizo zingine🙂. Bill ikafika 5000/=😭.

Mimi nimetulia tu😛. Tumekula, na saa hiyo mimi sisemi kitu mpaka tuk**aliza😎. Kwa vile mimi ni mwerevu😓, nikaanzisha conversation. Si mnanijua🙇!!!!
Mimi : Warembo do you watch World Cup?😳
Mmoja wao : Nooo mimi napenda Olympics☺, kwanza Rudisha hunibamba🤗.
Mwingine : Mimi Kemboi🤔.
Mimi : Hata mimi ni mtu wa Olympics🤗. Do you know i am investing in Sports?☺Nataka kuenda competition pia this year🙄. Niwashow vile mimi hukimbia????🤔
Wote : wow.. eeh.. please show us🤓.

Nikaona waiter akileta Bill😥. Nikasimama na nikaambia waiter asonge kwa pathway😋.
Mimi : Warembo, mimi huwa nakimbia hivi😟.
Nakwambia nimetoka teketeke k**a Chui😋. Yani nimeenda mbio kabisaaaaa😎!!!!!
Saa hii niko LAVINGTON SHOPPING MALL naingia ndani kufanya shopping😜. Nasikia bado wako huko wanachonga Viazi😂😂😂.
Nikiku invite out🤓, ukuje ukiwa Solo🤓. Ni Lunch wala sio recruitment✊.
BRAINS Thee Chumba.

💥💥LIKE Thee Thee ChumbaThee chumba

🥺🥺🥺 Jana nilikuja hapa kutembelea Dem wangu♥️🥰..kufika akanikaribisha☺. Kuingia kwa mlango hivi tu nikakanyaga rag nikat...
07/12/2023

🥺🥺🥺 Jana nilikuja hapa kutembelea Dem wangu♥️🥰..kufika akanikaribisha☺. Kuingia kwa mlango hivi tu nikakanyaga rag nikateleza nikaangukia kenpoly ikavunjika😀. Kidogo hivi nikaamka kuketi kwa sofa nikakalia remote ikavunjika😬, kidogo kidogo tena akaniletea chai kwenda kushika cup ikamwagika.......tena hivi, kwenda kuamka nikateleza nikaangukia basin ikavunjika😎.
Nikaketi tena👌, nikidhani maneno yameisha nikanyamba juu ya kusneeze..... halafu balloon ya k**asi ikatoka kwa pua 😂😂Acha hiyo🙄 usiku tukaingia kitandani🙆 Chululu🍆ikakata kusimama abadan katan😭🙆Ikabidi tulale tu...Sio hiyo tu🤫 Asubuhi kuamka nilikuwa nimekojoa kwa kitanda🙆😭Bado Niko hapa sahivi..I don't know what to do 😂😂🤤🤤🤤.
Follow Founder SpartaFounder Sparta

Address

Kiambu

Telephone

+254758504983

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chumba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share