Dimanche Media

Dimanche Media Entertainment, Drama, Lifestyle

K**a bado hujasikiliza wimbo mpya wa Momo Cara , basi unajikosesha ladha halisi ya muziki! Wimbo huu ni uthibitisho kuwa...
13/04/2025

K**a bado hujasikiliza wimbo mpya wa Momo Cara , basi unajikosesha ladha halisi ya muziki! Wimbo huu ni uthibitisho kuwa yeye ndiye msanii wa k**e pekee kutoka Uvira anayejua kutembea na beat kwa ustadi wa hali ya juu.
Sauti yake ni ya kipekee — tamu, safi, na yenye hisia — na anaitumia kwa ustadi wa kuvutia. Mbali na kipaji cha uimbaji, Momo Cara pia ni mwandishi mzuri wa nyimbo zake mwenyewe, akichora hisia na ujumbe wa kina kwenye kila mstari.

K**a hujasikiliza wimbo huu, BONYEZA link hii sasa:
https://youtu.be/7PSMd_GWkIA?si=hOQFqQY9TFJ03AYD
Kisha utushukuru baadaye!

Usisahau kufuatilia Dimanche Media kwa taarifa na burudani zaidi kutoka kwa wasanii wanaochipuka na wenye vipaji halisi!

Wakati hali ya usalama ikiendelea kuwa mbaya nchini Congo na mauaji kuripotiwa kila dakika, wasanii wawili kutoka Uvira ...
10/04/2025

Wakati hali ya usalama ikiendelea kuwa mbaya nchini Congo na mauaji kuripotiwa kila dakika, wasanii wawili kutoka Uvira wameamua kutumia sauti zao k**a silaha ya kuhamasisha amani na mshik**ano.

Msanii XENDER SWEDY ameachia wimbo wake mpya uitwao "Amka Tujenge", unaohamasisha vijana wa Congo kuamka na kushiriki katika kujenga taifa lao. Ujumbe wake unalenga kuwafikia wale waliokata tamaa, akiwaambia kuwa suluhisho lipo katika umoja.

Kwa upande mwingine, msanii SAPOLOGUANO naye ameachia wimbo unaoitwa "Adui wa Congo", unaochambua historia ya vita vya Congo na kuonesha wazi kuwa adui si jirani bali ni mgawanyiko na chuki miongoni mwao. Anatoa wito kwa wale waliokimbilia nchi za nje warudi ili kujenga na kupigania amani ya taifa lao.

Nyimbo hizi si za burudani tu, bali ni wito wa kizalendo kwa kila m-Congo anayeamini kuwa amani ni haki ya msingi inayopaswa kupiganiwa kwa pamoja.

“Congo haitajengwa kwa vita, bali kwa mshik**ano na mapenzi kwa taifa.”

K**a Hauja sikiliza nyimbo Izi nenda YouTube kwenye channel ya Xender Swedy na sapologuano

Tukirudi Miaka tano Achillian ndo Msanii tulie Amini  atatutambulisha vizuri inje ya uvira na alifanya Hivo na bado ana ...
09/04/2025

Tukirudi Miaka tano Achillian ndo Msanii tulie Amini atatutambulisha vizuri inje ya uvira na alifanya Hivo na bado ana endelea kufanya ila Siku Izi NI k**a speed imepungua
Wasanii Wa goma ,Bukavu wenye wako na Toka ,kwenye Level ya achillian awafiki lakini Wana toboa mapema

Nimetoka kuangalia video yake aliyo Achia juzi Kati kukomala ni piége
Video Iko lavel ya chini Sana kufuatana na Alikuwa Amesha Fika

Najiuliza nini kime badilika kwake
Studio Amesha Fungua ,Media Tayari Anayo
Kipi akipo Sawa k**a NI sapoti Basi sapoti ya uvira anaipata
Achillian amka k**a Ulikuwa Umesha Anza kusinzia
Muziki Wa uvira unaenda kukufa

Uvira Viprodi Sadiki Issa Kivu flever Skendo Online Kibenge Télévision Enligne Emission Sanaa ya Nyumbani

Media za nyumbani mume lala Sana
Now I'm back
Naomba turudi kazini mbona uvira ilikuwa Imesha kuwa mbele kwenye upenda Wa Medias Mtandaoni nini shida NI mega ama NI nini
Nawaomba turudi kazini na tuwa sapoti Wasanii wetu
Pia ongezeni creativity

Kingkhife amemshukuru sana msanii mwenzake Sapologuano kwa ushirikiano wao katika nyimbo za "Lucifer" na "Helena". Kupit...
07/01/2025

Kingkhife amemshukuru sana msanii mwenzake Sapologuano kwa ushirikiano wao katika nyimbo za "Lucifer" na "Helena". Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Kingkhife ameeleza jinsi nyimbo hizo zimekuwa na mafanikio makubwa, hasa "Helena" ambayo imekuwa hit katika mji wa Uvira na nchi nyingine. Amemshukuru Sapologuano na management yake kwa nafasi waliyompatia katika kuweza kufanya kazi pamoja. Kingkhife ameongeza kuwa anaamini kuwa watashirikiana tena katika miradi mingine mikubwa katika mwaka huu.

Sapologuano Odenumz Yakutumba khife kwenyekiti

Follow us Dimanche Media

Xender Swedy ni jina linaloibuka taratibu katika anga la muziki wa Uvira Kwenye Wanao Imba R&B. Baada ya kuanza safari y...
05/01/2025

Xender Swedy ni jina linaloibuka taratibu katika anga la muziki wa Uvira Kwenye Wanao Imba R&B. Baada ya kuanza safari yake ya muziki mwaka 2020, ameonyesha kipaji kikubwa na uwezo wa kuunda muziki unaovutia. Hata hivyo, licha ya juhudi zake, bado anahitaji msaada zaidi ili kipaji chake kiweze kuangaza kwa ukamilifu.

Safari ya Xender Swedy katika muziki imekuwa na changamoto zake. Baada ya kuachana na lebo ya Peace Music, alilazimika kujitegemea zaidi. Hata hivyo, kwa msaada wa marafiki zake na mashabiki, ameweza kuachia EP yake ya kwanza, "END," na hit song "N'gaa." Hivi sasa, anajiandaa kuachia album yake mpya na ana matarajio makubwa ya kufanya ushirikiano na wasanii wakubwa wa Kivuko.

Kwa nini tunapaswa kumsapoti Xender Swedy?

Kipaji cha kipekee:** Xender Swedy ana sauti ya kipekee na mtindo wa kipekee wa Kuimba Nyimbo nzuri nzuri ambao unamtofautisha na wasanii wengine.
Ubunifu:** Ameonyesha uwezo wa kuunda muziki mpya na wa kuvutia ambao unavutia mashabiki.
Bidii: Amekuwa akifanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo yake katika muziki.
Hitaji la msaada: K**a wasanii wengi chipukizi, anahitaji msaada wa kifedha na kiufundi ili kuendelea na kazi yake.

Je, unaweza kusaidiaje?

Unaweza kusaidia Xender Swedy kwa:

Kusikiliza muziki wake:Sikiliza nyimbo zake kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na ushiriki na marafiki zako.
Kununua muziki wake:Nunua muziki wake ili kumsaidia kupata kipato.
Kumfuata kwenye mitandao ya kijamii:Onyesha msaada wako kwa kumfuata kwenye mitandao ya kijamii na kuacha maoni mazuri.
Kutoa msaada wa kifedha:Ikiwa una uwezo, unaweza kutoa msaada wa kifedha ili kumsaidia kufadhili miradi yake ya muziki.

Kwa maelezo zaidi na msaada, unaweza kuwasiliana naye kupitia:

WhatsApp: +27 73 262 1984 au +254745736132

Tuungane pamoja kuinua vipaji vya Congo, Uvira!

**

Xender Swedy est un nom qui émerge progressivement dans le paysage musical d'Uvira. Depuis qu'il a commencé sa carrière ...
05/01/2025

Xender Swedy est un nom qui émerge progressivement dans le paysage musical d'Uvira. Depuis qu'il a commencé sa carrière musicale en 2020, il a démontré un talent exceptionnel et une capacité à créer une musique captivante. Cependant, malgré tous ses efforts, il a encore besoin de plus de soutien pour que son talent puisse briller pleinement.

Le parcours musical de Xender Swedy a été semé d'embûches. Après avoir quitté le label Peace Music, il a dû se débrouiller seul. Cependant, grâce au soutien de ses amis et de ses fans, il a réussi à sortir son premier EP, "END", et son tube "N'gaa". Il prépare actuellement son nouvel album et nourrit de grands espoirs de collaborer avec de grands artistes de Kivuko.

Pourquoi devrions-nous soutenir Xender Swedy ?

Un talent unique:** Xender Swedy possède une voix unique et un style musical distinctif qui le différencie des autres artistes.
La créativité:** Il a démontré sa capacité à créer une musique nouvelle et attrayante qui captive les fans.
Le travail acharné:** Il travaille sans relâche pour atteindre ses objectifs musicaux.
Le besoin de soutien:** Comme beaucoup d'artistes émergents, il a besoin d'un soutien financier et technique pour poursuivre sa carrière.

Comment pouvez-vous aider ?**

Vous pouvez soutenir Xender Swedy en :

Écoutant sa musique:** Écoutez ses chansons sur différentes plateformes de médias sociaux et partagez-les avec vos amis.
Achetant sa musique:** Achetez sa musique pour l'aider à générer des revenus.
Le suivant sur les réseaux sociaux:** Montrez votre soutien en le suivant sur les réseaux sociaux et en laissant des commentaires positifs.
Lui apportant un soutien financier:** Si vous en avez les moyens, vous pouvez faire un don pour l'aider à financer ses projets musicaux.

Pour plus d'informations et pour le soutenir, vous pouvez le contacter via:

WhatsApp: +27 73 262 1984 ou +254745736132

Unissons-nous pour promouvoir les talents de la Tanzanie !


Follow Us Dimanche Media Xender Swedy

Tuliyo Mu Miss  mamy wake like Hapa
31/10/2024

Tuliyo Mu Miss mamy wake like Hapa

Msanii WA Rap Mjini Uvira  Amemjia Juu Mtangazaji TinaMagambo  Baada Ya Kusema Amepotea wakati,Kuzunga Wanazuga Watangaz...
23/10/2024

Msanii WA Rap Mjini Uvira Amemjia Juu Mtangazaji TinaMagambo Baada Ya Kusema Amepotea wakati,Kuzunga Wanazuga Watangazaji Wa Habari Muhimu Na Ku Post Ujinga

Tina Aliandika Hivi Kupitia Ukurasa Wake WA Facebook

kwani yuko wapi!?? Mara y'a mwisho kumuona ilikuwa lini !??

Wanaojua hawana support kubwa

Afu Kwenye Upande WA Comment Horizon Alikuja Na Comment
👇
Ata support inaweza toka n'a kwako nilitowa bad rapper sikuona ata muna post cover yangu ila muliona k**a vile aifai musubirie muda wa bwana utaongea

Unahisi Msanii Yuko Sahihi ?

Ama Mtangazaji

Written by Presenter Banza PHD

Screenshot Kwenye Comment Section

Kuna Kipindi Jama Alichezea Na Fursa Ya Kwenda International Kwa Ile Ishu Ya Yeye Na Jux Na Diamond Sijui Ali Feli Wapi
23/10/2024

Kuna Kipindi Jama Alichezea Na Fursa Ya Kwenda International Kwa Ile Ishu Ya Yeye Na Jux Na Diamond
Sijui Ali Feli Wapi

Muziki WA Kivu Kwasasa Umekuwa Mkubwa Kiasi Kwamba 100k Viewers Kwa Mwezi Ni Ndogo Msanii Mkubwa Mjini Uvira Mr Gave Ame...
23/10/2024

Muziki WA Kivu Kwasasa Umekuwa Mkubwa Kiasi Kwamba 100k Viewers Kwa Mwezi Ni Ndogo

Msanii Mkubwa Mjini Uvira Mr Gave Amefanyikisha Kufikisha 100k Viewers Kwenye Video Ya Wimbo Wake PARADIZO Aliyo Achia Week Tatu Iliyo Pita
Na Bado Wimbo Unaenda Kufanya Vyema Uko YouTube Na Kwenye Platform Za Kusikiliza Muziki

Written Presenter Banza PHD

Msanii  ameshinda tuzo ya Meilleur Artiste Urbain du Kivu kwa mara ya pili kwenye KIVU MUSIC AWARDS mjini Goma ambapo kw...
21/10/2024

Msanii ameshinda tuzo ya Meilleur Artiste Urbain du Kivu kwa mara ya pili kwenye KIVU MUSIC AWARDS mjini Goma ambapo kwa mara hii alikua nashindana na kina , ...

Msanii ni msanii mwenye tuzo nyingi zaidi za nje ya Uvira kuzidi wote, hii ni kwa namna anavyo jitengenezea connexion na kuimarisha kazi zake.

Toa maoni yako

Address

Kiambu

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dimanche Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dimanche Media:

Share

Category