25/01/2025
Kuna wakati nilikuwa naendesha turela🤣usiku Moja kufika maahi mahiu kajam kakashika😢 na juu nilikuwa nimekawia kulala, nikateremsha kiti kidogo nitulie nikingoja jam ifunguke😌shetani naye ni nani,,,after 1hr jam ikafunguka. Mimi hapa nimelala fofofo, gari nimeweka hazard, wengine walikuwa wanakuja wanaovertake wakienda😢 nikakesha pale mpaka asubuhi ,,,niliraushwa na jua ya windscreen 🤣🤣gari sikuzima,,iliguruma usiku mzima😢 kwenda kuangalia gauge Iko almost empty😢🙆
Ikabidi nipigie boss nimpige kiswahili ndo atoe kitu nieke mafuta,, nikamuitisha pesa ya spare flani hapo..akaniambia hio yenye imeharibika nitume picha😲Wise man mbio mbio nikaingia google ku download...then nikamtumia kisha akakimbia pale river road akanunua na akanitumanishia hadi mechanic.🤣wapi makofi
Mechanic kufika akapata gari iko sawa ikabidi nimuelezee hio situation bahati nzuri akaingia box tuuze hio spare tena ndo itoe doh tunataka 😌😁
Kumbe boss alizunguka duka kadhaa akiulizia hio spare akapata hakuna 😲🙆alafu ndo hao sisi tukaenda kuuza mahali aliulizia akambiwa hakuna😢😟 kuharibu Sasa kwa hio duka,walikuwa na contacts zake so baada ya kuleta alipigiwa simu aty Ile spare alikuwa anatafuta imepatikana akuje aone.😢🙆🤣sisi hatukuwa tunajua ni nani🙆
Boss ( Getty Toto Official ) kukuja alipata ni mimi na mechanic wangu tumeleta 🫨😢
Hata k**a ni wewe??? Ungesimama hapo kweli???🤣🤣🙆
Follow Murugami. ke