Salma Binti Athman

Salma Binti Athman Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Salma Binti Athman, News & Media Website, 00216, Kiambu.

Rais wa Iran Ebrahim Raisi amefariki katika ajali ya helikopta.Rais huyo aliwahi kuzuru Kenya mwaka jana.Picha [Maktaba]
21/05/2024

Rais wa Iran Ebrahim Raisi amefariki katika ajali ya helikopta.

Rais huyo aliwahi kuzuru Kenya mwaka jana.

Picha [Maktaba]

Familia za Kirinyaga zaomboleza wapendwa wao waliofariki kwenye ajali ya chopa ya KDF pamoja na Jenerali OgollaSajenti R...
19/04/2024

Familia za Kirinyaga zaomboleza wapendwa wao waliofariki kwenye ajali ya chopa ya KDF pamoja na Jenerali Ogolla

Sajenti Rose Nyawira ni miongoni mwa wanajeshi waliofariki kwenye ajali ya ndege jumatano Familia yasema

Mkuu wa KDF Francis Ogolla atazikwa Jumapili, Familia yasema
19/04/2024

Mkuu wa KDF Francis Ogolla atazikwa Jumapili, Familia yasema

Rais Ruto atangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa ya aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Kenya Jenerali Franc...
18/04/2024

Rais Ruto atangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa ya aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Kenya Jenerali Francis Ogolla kuanzia Aprili 19, 2024,
bendera kupepea nusu mlingoti.

CDF Francis Ogolla amefariki katika ajali ya.ndege, Rais Ruto atangazaPicha kwa hisani ya Citizen digital
18/04/2024

CDF Francis Ogolla amefariki katika ajali ya.ndege, Rais Ruto atangaza

Picha kwa hisani ya Citizen digital

Mwanaume afariki kwa kushukiwa kujitoa uhai baada ya ugomvi kuhusu deni la ksh.90Picha kwa hisani ya Citizen digital
15/04/2024

Mwanaume afariki kwa kushukiwa kujitoa uhai baada ya ugomvi kuhusu deni la ksh.90

Picha kwa hisani ya Citizen digital

Gharama ya umeme kwa wateja wa nyumbani yapungua hadi 13.7 PC kufuatia kuimarishwa kwa shilingi ya Kenya na kupunguzwa k...
15/04/2024

Gharama ya umeme kwa wateja wa nyumbani yapungua hadi 13.7 PC kufuatia kuimarishwa kwa shilingi ya Kenya na kupunguzwa kwa gharama ya mafuta,
Kenya power yatangaza

Picha kwa hisani ya Citizen digital

Bei ya mafuta itashuka kwa ksh.10, rais Ruto Asema
14/04/2024

Bei ya mafuta itashuka kwa ksh.10, rais Ruto Asema

Sakaja akosa kufika mbele ya Seneti tena, na kutozwa faini ya ksh. 500kPicha kwa hisani ya Citizen digital
11/04/2024

Sakaja akosa kufika mbele ya Seneti tena, na kutozwa faini ya ksh. 500k

Picha kwa hisani ya Citizen digital

June Moi, Binti wa Rais Moi afariki duniaFamilia yake yathibitisha.Picha kwa hisani ya Nation
11/04/2024

June Moi, Binti wa Rais Moi afariki dunia
Familia yake yathibitisha.

Picha kwa hisani ya Nation

Marufuku ya Sh**ha nchini Kenya ni kinyume cha Katiba, Mahakama ya Mombasa yatangazaPicha kwa hisani ya Citizen digital
29/03/2024

Marufuku ya Sh**ha nchini Kenya ni kinyume cha Katiba, Mahakama ya Mombasa yatangaza

Picha kwa hisani ya Citizen digital

Address

00216
Kiambu

Telephone

+254702928926

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salma Binti Athman posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Salma Binti Athman:

Share