17/07/2025
Kilio Cha Waathiriwa:
Vijana wawili wauwawa kwa risasi kwenye maandamano
Peter Macharia na Edwin Murimi walipigwa risasi kichwani
Vijana hao walifariki baada ya kufuja damu nyingi
Familia zao hatimaye zimeruhusiwa kuwazika