30/05/2026
Nilienda kinyozi jana nimecheka karibu nifukuzwe🤣🤣🤣🤣
Kidogo kidogo kukaingia mrembo fulani na alikua na figure plus sura kuweza😋😋😋 aisee hio ilikua figure na sura zilikua zimeenda kidato😜😜😜 sasa mzee fulani kipara alikua ananyolewa zile nywele zinakuaga kando ya kipara nikaskia amesema🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Wow!! Madam unakaa mrembo sana😋😋
Mrembo: Asante🙂🙂
Mzee kipara: Unatoka wapi hii kenya yetu??🤔🤔
Mrembo: Naishi hukutu karibu na center 🙂🙂🙂
Mzee kipara: Naweza kupeleka out siku moja🤔🤔
Mrembo akainua mkono juu kuonyesha mzee kipara pete ndio ajue yeye ameolewa lakini kabla amalize kuinua mkono mzee kipara akamwambia🤫🤫🤫🤫
Mzee kipara: Ata mimi niko na bibi lakini nataka tukutane tukule mali polepole😋😋
Mrembo: Nitaambia bwanangu naenda wapi hio siku?🤔🤔🤔
Mzee kipara: Utamwambia umeenda injiri ndio neno lifikie walio mbali na kanisa lenu🤣🤣🤣🤣
Mrembo: Ebu mwambie hivo wewe mwenyewe🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Tutapatana wapi na hio nugu yako niiambie hivo🤣🤣🤣
Mrembo: Hayuko mbali ndio huyo anakunyoa🤣🤣🤣🤣
Mzee kipara: Unajua nakuaga mwenda wazimu usibebe maneno yangu serious 😭😭😭😭
K**a unataka kujua part 2 Nifollow hapa Kwa page Yangu for part 2 ❣️💪🥰
Follow me 👉 Jose Ngotiek khalist