10/12/2025
Zimefanyika jitihada za kuwaleta maafisa wa vitambulisho karibu na nyinyi ili kila kijana apate ID card bila gharama ya kusafiri mbali.
Jumatano, tarehe 17 Desemba, tunafanya zoezi hili maalum kwa jina la SAJILI MKENYA – CHASIMBA EDITION hapo Rockcity Petrol Station kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Kumbuka kubeba:
Photocopy ya ID ya mama yako na baba yako
Copy ya birth certificate au leaving certificate
Copy ya result slip au academic certificate
Zoezi hili limefadhiliwa na Evans Mayuro .
YAJAYO YANAFURAHISHA.