
01/11/2024
Huku taifa kwa jumla tukiombeleza kifo cha "content creater"Tabitha Gatwiri . Tuna kumbuka pia kifo cha mwanzilishi wa ziki la n**i aliyejulikana k**a Ali B .Ali B alitambulika kwa kazi zake k**a vile Maria etc. Mola aendelea kupumzisha roho yake pahala pema peponi.