MLEJI Trending news TV

MLEJI Trending news TV Habari za michezo na burudani kutoka kila pembe ya dunia

President of Sierra Leone Julius Maada Bio arrives in the country.
29/04/2024

President of Sierra Leone Julius Maada Bio arrives in the country.

HABARI ZA HIVI SASAGari ya bendi ya mziki wa bango New African Sounds band yahusika kwenye ajali mbaya eneo la Kinarani ...
28/04/2024

HABARI ZA HIVI SASA
Gari ya bendi ya mziki wa bango New African Sounds band yahusika kwenye ajali mbaya eneo la Kinarani walikuwa wametoka Kaloleni.

James Ngala ambaye ni muanzishi wa bendi hiyo ameumia na amekimbizwa hospitalini.

Mwili wa General Mkuu Francis Ogolla umewasili katika uwanja wa ndege wa Kisumu kwa shughuli ya mazishi katika kaunti ya...
21/04/2024

Mwili wa General Mkuu Francis Ogolla umewasili katika uwanja wa ndege wa Kisumu kwa shughuli ya mazishi katika kaunti ya Siaya.

Vijana wanaupiga mwingi pale kilifi
10/04/2024

Vijana wanaupiga mwingi pale kilifi

Msanii wa Kenya, Otile Brown ametangaza kuwa albamu yake ya nne, Grace utatoka rasmi Februari 23, 2024.Albamu hiyo yenye...
06/02/2024

Msanii wa Kenya, Otile Brown ametangaza kuwa albamu yake ya nne, Grace utatoka rasmi Februari 23, 2024.

Albamu hiyo yenye nyimbo 11 imeshirikisha wasanii k**a Nameless, Femi One, Rayvanny, Barakah The Prince n.k.

Watu wanne wafikishwa Mahak**ani Kenya kuhusiana na mlipuko wa gesiSource bbc Swahili:https://bbc.in/3ucGAQQ
06/02/2024

Watu wanne wafikishwa Mahak**ani Kenya kuhusiana na mlipuko wa gesi

Source bbc Swahili:https://bbc.in/3ucGAQQ

Harmonize kabla ya kufikisha miaka 30 anazidi kuonyesha nia ya kufunga ndoa na mpenzi wake Poshy Queen k**a alivyoahidi ...
05/02/2024

Harmonize kabla ya kufikisha miaka 30 anazidi kuonyesha nia ya kufunga ndoa na mpenzi wake Poshy Queen k**a alivyoahidi kabla ya birthday yake...

Mbeleni Harmonize aliandika... "Mwaka huu nimeanza na Baraka na ndo mwaka wangu WA kuoa kabla ya kufikisha miaka 30 hii ni kabla ya Birthday yangu."

Wawili hawa wameanza kutengeza familia yao wakisubiri ndoa mwaka huu... Tazama moja ya video zao kwenye Comments...

Timu 4 zimefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali, Nigeria, Afrika Kusini, Congo na Ivory Coast. Timu zingine 20 zimeyaa...
04/02/2024

Timu 4 zimefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali, Nigeria, Afrika Kusini, Congo na Ivory Coast. Timu zingine 20 zimeyaaga mashindano haya. AFCON hii hakuna timu ya Waarabu ilifanikiwa kuingia robo fainali.

Kabla ya tarehe 11 mwezi huu taja msimamo wako mapema...
Nigeria.
South Africa.
Congo.
Ivory Coast

Kwa Picha: Wapiganaji wa Houthi wakongamana kuonyesha umoja wao dhidi ya mashambuliziSource: bbc Swahili: https://bbc.in...
04/02/2024

Kwa Picha: Wapiganaji wa Houthi wakongamana kuonyesha umoja wao dhidi ya mashambulizi

Source: bbc Swahili: https://bbc.in/48ZaDKV

Msemaji wa serikali ya Kenya Isaac Mwaura amesema rushwa na ukosefu wa ufuatiliaji katika taratibu za vituo vya gesi, nd...
03/02/2024

Msemaji wa serikali ya Kenya Isaac Mwaura amesema rushwa na ukosefu wa ufuatiliaji katika taratibu za vituo vya gesi, ndivyo vimechangia mlipuko mkubwa wa lori la mitungi ya gesi.

🚩 𝐓𝐄𝐓𝐄𝐒𝐈 𝐙𝐀 𝐔𝐒𝐀𝐉𝐈𝐋𝐈 𝐙𝐈𝐋𝐈𝐙𝐎𝐉𝐈𝐋𝐈 𝐁𝐀𝐑𝐀𝐍𝐈 𝐔𝐋𝐀𝐘𝐀 𝐋𝐄𝐎 𝐈𝐉𝐔𝐌𝐀𝐀 𝐅𝐄𝐁 02.2024 👇🏻👇🏻🚨 Mshambulizi wa Ufaransa Karim Benzema alihusish...
03/02/2024

🚩 𝐓𝐄𝐓𝐄𝐒𝐈 𝐙𝐀 𝐔𝐒𝐀𝐉𝐈𝐋𝐈 𝐙𝐈𝐋𝐈𝐙𝐎𝐉𝐈𝐋𝐈 𝐁𝐀𝐑𝐀𝐍𝐈 𝐔𝐋𝐀𝐘𝐀 𝐋𝐄𝐎 𝐈𝐉𝐔𝐌𝐀𝐀 𝐅𝐄𝐁 02.2024 👇🏻👇🏻

🚨 Mshambulizi wa Ufaransa Karim Benzema alihusishwa na kuondoka Al-Ittihad mwezi January lakini atafanya mazungumzo ya wazi na klabu hiyo ya Saudi Pro League.

Klabu hiyo ambayo inataka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 abaki kwa msimu mwingine Karim Benzema anaweza kukubali mkataba mpya ndani ya Al-Ittihad.

Source : Ben Jacobs

🚨 Beki wa Aston Villa Muingereza Calum Chambers alikataa ofa kutoka kwa timu tatu za Championship, licha ya klabu hiyo ya Midlands kuwa tayari kumruhusu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 kuondoka.

Source : Football Insider

🚨 Wawaniaji wa nafasi ya kupanda ubingwa West Brom walikuwa miongoni mwa vilabu vilivyotaka kutaka kumsajili beki wa zamani wa Arsenal, Chambers.

Source : Daily Mail Sports

🚨 Winga wa zamani wa Everton Ademola Lookman, 26, analengwa na Atletico Madrid na Juventus, ambao wanaweza kumnunua mchezaji huyo wa kimataifa wa Nigeria, ambaye kwa sasa anachezea Atalanta, majira ya joto.

Source : The Sun Sport

🚨 West Ham ilikataa mpango wa mkopo wa kuchelewa kutoka kwa Fulham kwa winga wa Algeria Said Benrahma huku Cottagers wakijaribu kuishinda Lyon hadi saini ya mchezaji huyo wa miaka 28 itakapotimia.

Source : Fabrizio Romano

🚨 Nyota wa formula 1 Lewis Hamilton, ambaye anajiunga na Ferrari mnamo 2025, tayari amedokeza kuwa anaweza kuungana na Sir Jim Ratcliffe huko Manchester United.

Mchezaji huyo anasubiri pazia la ushirikiano wao huko Mercedes mwaka huu ili kujiunga na klabu ya Man United.

Source : Express

🚨 Arsenal inaweza kumpa kiungo wa Ubelgiji Albert Sambi Lokonga nafasi ya pili baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 kucheza kwa mkopo klabuni Luton Town.

Source : Football Transfers

🚨 Winga wa Uhispania Bryan Gil alikuwa akihusishwa na uhamisho wa mkopo mwezi January lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 ameamua kusalia Tottenham Hotspur.

Source : Mleji trending news TV

SIJAWAHI FANYA NGONO NA DJ SEVEN -POSHYQUEENPoshyqueen afunguka kwa mara ya kwanza na  kukanusha kutowai kuwa mpenzi wa ...
28/01/2024

SIJAWAHI FANYA NGONO NA DJ SEVEN -POSHYQUEEN

Poshyqueen afunguka kwa mara ya kwanza na kukanusha kutowai kuwa mpenzi wa Djsevenworldwide
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika hivii.

"Sikutaka kuzungumzia hili, lakini kwa sasa, kwa ajili yangu na taswira ya mwenzi wangu, kwa dhati kabisa, kamwe sijawahi kutoka kimapenzi na Seven".Alikuwa rafiki na tumefanya kazi pamoja, yeye anajua ukweli. Sina upumbavu huo"

follow MLEJI Trending news TV

Wanajeshi wa ngazi ya juu wa Iran wauawa katika shambulio linalodaiwa kutekelezwa na Israelhttps://bbc.in/3Oa3xuH
21/01/2024

Wanajeshi wa ngazi ya juu wa Iran wauawa katika shambulio linalodaiwa kutekelezwa na Israel

https://bbc.in/3Oa3xuH

West Ham wanataka kuwasajili wachezaji wawili wa mkopo baada ya kuanzisha mazungumzo na Manchester City kuhusu kumhusu K...
20/01/2024

West Ham wanataka kuwasajili wachezaji wawili wa mkopo baada ya kuanzisha mazungumzo na Manchester City kuhusu kumhusu Kalvin Phillips

https://bbc.in/3OcyjTE

Ndege zisizo na rubani za Israel zashambulia hospitali kusini mwa Gaza, Shirika la msalaba mwekundu la Palestina lasemaH...
20/01/2024

Ndege zisizo na rubani za Israel zashambulia hospitali kusini mwa Gaza, Shirika la msalaba mwekundu la Palestina lasema
Http/Mleji_trending_news_tv

Address

Kilifi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MLEJI Trending news TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MLEJI Trending news TV:

Share