Said K E

Said K E Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Said K E, Kilifi.

🎬 Filmmaker & Cinematographer
I create films that inspire, entertain & celebrate African culture | Every frame, every scene, every story — made with heart.
| Based in Kilifi, Kenya 🌊


SUBSCRIBE YOUTUBE - youtube.com/c/SaidTVKenya

Amorin anafanya Ten Haag aonekane alikua vizuri pale Manchester .... 🤭Jana Ako na lowest win percentage pale Manchester ...
16/09/2025

Amorin anafanya Ten Haag aonekane alikua vizuri pale Manchester .... 🤭

Jana Ako na lowest win percentage pale Manchester since the world war 2😂

Nyota sijui ulienda wapi wewe...😃
11/09/2025

Nyota sijui ulienda wapi wewe...😃

Avoid acting strong after break up 🥴 I once fainted while laughing .....
10/09/2025

Avoid acting strong after break up 🥴 I once fainted while laughing .....

How old were you when you realized the Sun doesn’t actually move? 🤯It’s the Earth spinning that gives us day 🌞 and night...
09/09/2025

How old were you when you realized the Sun doesn’t actually move? 🤯
It’s the Earth spinning that gives us day 🌞 and night 🌙 … the Sun just chills in space while we do the turning! 🌍😂

Tatizo Hela yenyewe ila itatoka TU 😔😔
03/09/2025

Tatizo Hela yenyewe ila itatoka TU 😔😔

When you meet with Legends .... ❤️❤️
26/08/2025

When you meet with Legends .... ❤️❤️

Alhamdulillah for another year of life. As I celebrate my birthday today, my only prayer is for guidance from Allah ﷻ. M...
24/08/2025

Alhamdulillah for another year of life. As I celebrate my birthday today, my only prayer is for guidance from Allah ﷻ. May He show me the right path, grant me wisdom, and bless my steps with peace and purpose. 🤲🏽

Dropping this Friday.... 'HELLA'  Kiyz X   Mwenyewe ... After hii huyu Dogo wangu natamani sana aupige na Nyota Mwenyewe...
18/08/2025

Dropping this Friday.... 'HELLA' Kiyz X Mwenyewe ... After hii huyu Dogo wangu natamani sana aupige na Nyota Mwenyewe NYOTA NDOGO... Endapo atampa nafasi..Kijana uwezo anao ...Alafu Ruby kache cheza k**a wewe afike Interview 🤗🤗

17/08/2025

Point ni 3🫵

Kuna msanii mmoja wa hapa mjini 🎤🔥Alimpa vixen nafasi kwenye video yake mpya, akamlipia makeup, mavazi, na hata akampush...
13/08/2025

Kuna msanii mmoja wa hapa mjini 🎤🔥
Alimpa vixen nafasi kwenye video yake mpya, akamlipia makeup, mavazi, na hata akampush kwa connections kubwa.
Kila mtu alidhani hawa wawili ni marafiki wa karibu sana.

Lakini kumbe nyuma ya pazia 😳… vixen alikuwa akituma DM kwa promoters akimchafua msanii, akisema hafai na hastahili kushika stage kubwa.

Cha kushangaza zaidi… video bado haijatoka 🎥😮
Na sasa, hawaongei kabisa!

Somo?
Si kila anayekaa karibu na wewe anakutakia mema.
Wengine wanakula meza moja na wewe mchana… usiku wanapanga mkosee kesho. 🎯💔

Naona Kilifonia walikubali  kabisa hii plan ...Ukipanda na hio road unafika baobab beach direct🏄....ukipiga corner ya ri...
08/08/2025

Naona Kilifonia walikubali kabisa hii plan ...Ukipanda na hio road unafika baobab beach direct🏄....ukipiga corner ya right unaingia Kaya...then corner ya left direct to kiwandani.... Ni stadium si Stadium? 😁

Lakini swali ni je vindadimimika jeri?

....
06/08/2025

....

Address

Kilifi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Said K E posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Said K E:

Share