05/06/2026
πππππ πππ ππππ πππππππ πππππππ
Gonga like the following Weldy Brian
πππππππ π
Robert ndio wanafika home lakini Annaliza alishtuka ati Kylian hajafika since atoke. Robert akamwambia usijali maybe he needed some time kiasi acha atulie atakuja. Annaliza anasema apana, Kylian hakuangi hivyo but k**a ni time anataka he will be back...huh! Joke on you.
Kumbe Kylian,tuliona ametekwa nyara ndio sasa acha niwaonyeshe mwenye alimkidnap, Kefa. Kylian wakati anapata ufahamu ndio alishtuka mwenye amemkidnap ni Kefa π€£π€£Kefa alicheka akamwambia kijana,hakuna mwenye anakuja kukusafe. Kylian anashindwa kwani nimekosa nini lakini Kefa alichukua rungu akamwambia sikiza,nilikulea k**a mtoto wangu,I raised you Kylian alafu fala atokee tu huko ati sasa anakuchukua,I wont allow that. Wah! Revenge time.
Tyrone na Saida cant wait ju ni kesho tu wanafanya wedding,kwanza k**a kuna mtu ako soo happy ni Saida alafu sasa mwenye ako extremely happier ni Tyrone. They are counting hours wavalishane pete waanze kumumunyana rasmi π€£π€£π€£hadi waliamua kukisiana,lakini kabla Saida hajatoa ulimi,Asha akafika π€£π€£π€£
Tyrone aliambia Asha sweetheart,ukija hapa unanock kiasi unaona karibu utupate tuki,eeh! Ile kituπ€£π€£π€£
Haya! Tuliona Annaliza ameomba ruhusa aende kupimana nguo ya wedding lakini sikiza,Annaliza hakua anaenda kupima nguo,alikua anakuja kwa Kefa na already ashafika.
Annaliza alikuja akapata Kefa akamwambia najua huwa unaiona nakuchukia lakini bado nakupenda,kwanza nimesikia ati ulisaidia Tinah,manze you are one in a million na nimekuja tu kuomba msamaha incase nilikukwanza. Annaliza hana habari,huyu huyu Kefa amemukidnap Kylian.
Sikiza, Annaliza amekuja kuomba msamaha Kefa na ju anajua kesho anafanya wedding guess alifanya nini,alimshika Kefa shirt na akampeleka kwa bedroom,ile kitu walifanya huko,eeh! Hata shetani alibaki akiwa amekaa hapo kando akishangaa tu na hivi ndio lodgings huwa wakuu,acha niwaambie story ya rafiki yangu,aliniuliza mbona kwa lodging kunakuanga na kiti hapo. Sababu ya kiti ni ya kukaliwa na shetani akiwaangalia venye mnatandika usherati π€£π€£π€£π€£Imagine kesho ni wedding ya Annaliza as alleged,but ameamua kuangushia Kefa leo k**a ishara ya kumuomba msamaha.
πππππππ π
Saida alienda akaongelesha Nura akamwambia aache mchezo na Mathew kisha baadaye akakuja kwa Tinah ju anajua Tinah anamchukua ju alibail Ray out. Tinah kamejam kanamwambia Saida iam sick of your drama lakini Saida alijaribu kumuongelesha but Tinah hataki kusiia anything. Saida alimwambia nakujali sana na nilikua na hofu,najua tumeishi kuchukiana lakini its time we cut the hatch ju nakujali sana. Mathew ako hapo akamwambia Saida wee pia nyamaza unasema unamjali an uliendelea na story zako na wedding hiyo ni kumjali gani? Saida alimwambia Mathew sikiza usipende kuwa sumu kwa maisha ya watu,na ukiendelea kukanyaga nyoka itakuuma. Mathew hafikirii hajui siri yake Saida ako nayo.
Kumbe Annaliza na yeye baada ya kukulana na Kefa,alishikwa na kale ka usingizi ka after mechi,sasa Robert ndio amemcall,hashiki ju Annaliza amelala kulala. Aliamka akapata 87 missed calls.
Annaliza mbio mbio akaoga akatengeza nywele ready kuenda. Ona sasa Kefa venye anaenjoy after kusweat π€£π€£π€£
Turudi kwa Mathew na Saida,alimwambia Mathew,hufai hata kupiga mdomo hapa,yafaa unyamaze. Mathew akamwambia wee unajaribu kuwa guilty ju najua hupendi Tinah na sikuogopi na venye mlifanyia Tinah lazima utalipia. Saida akamuuliza unangoja nini,si ufanye chenye unaeza fanya ama uende polisi ama. Saida anashindwa haka katoto nikafanyie nini but akaambia Tinah sikiza k**a kuna mtu wa kulaumu ni huyu Mathew na mimi naomba tu msamaha wewe k**a wewe na sitawai rudia kukuudhi tena. Tinah akamuuliza mbona uombe msamaha? Saida akamwambia ni ju kesho mimi na babako tunafganya harusi. Tinah akashtuka akauliza Mathew,ni kweli,kuna wedding an hujai niambia? Mathew akamwambia yeah ni ukweli they are wedding. Tinah ndio alishtuka anasema how can my dad marry this useless woman here. Lakini Saida yeye anacheka tu ju hata pia anajua who is useless woman π€£π€£
Tyrona alipigia mapolisi simu akawaambia sikzia, sijui mtafanya aje, lakini chenye nataka mtafuta Brayson mumueke ndani,come rain come sunshine.
Saida alikuja akaambia Tyrone kimeumana,ju huyo Mathew simuoni vizuri,mwanaume ni mdomo k**a kasuku. Punde si punde,Tinah akakuja akauliza babake,Tyrone,so ulikua ufanye wedding bila kuniambia? Tyrone akamwambia niliona uko na vitu mob za kufikiria sikutaka kukuchosha but usijali yeah kesho nafanya wedding unless uniambie chenye ulitaka nikuambie. Tinah akamuuliza ulifikiria aje siku ya wedding,k**a nilikua missing ama venye nilirudi? Tyrone akamwambia I think thats not important,what matters is uko hapa..Lakini Tinah akamuuliza,so k**a ningeendelea kupotea ungeendelea na wedding? Tyrone akamwambia noo,tulikua na mambo ya kufikiria sana kukuhusu,so relax na usinipigie kelele wewe msichanaπ€£π€£π€£π€£
Meanwhile....
Nikimalizia malizia,tafadhali
Naomba kazi before msahau kazi mi hufanya.
MONTHLY/ANNUAL SHA PREMIUM APPEALS/REDUCTIONS
Call/WhatsApp 0722146892