DJ KEVIN

DJ KEVIN DJ KEVIN

Bro wakati mwingine nunua heels 👠 na uweke hapo inje ya mlango.. hao majirani watadhani huna dem mpaka lini
26/10/2024

Bro wakati mwingine nunua heels 👠 na uweke hapo inje ya mlango.. hao majirani watadhani huna dem mpaka lini

Relationship zingine ni k**a bundles za Airtel hujui ziliisha saa ngapi, unaona tu network ikiwa slow,,,!!!🤣🤣😂😂💔mwisho m...
25/09/2024

Relationship zingine ni k**a bundles za Airtel hujui ziliisha saa ngapi, unaona tu network ikiwa slow,,,!!!🤣🤣😂😂💔mwisho mwisho unajipata uko single🤣🤣

Sasa unanitext "hey beb"na new number nitajua aje ni beb mgani 🤔🫣😂😅
28/08/2024

Sasa unanitext "hey beb"na new number nitajua aje ni beb mgani 🤔🫣😂😅

Beb wako amekutambulisha Kwao 🤣ama unatumika kisirisiri k**a bhangi😂😂😂😂😂😂😂
22/07/2024

Beb wako amekutambulisha Kwao 🤣ama unatumika kisirisiri k**a bhangi😂😂😂😂😂😂😂

Ni siku ya pili amepelekwa coffee date na anasema he is just a friend 🙄🙄
04/07/2024

Ni siku ya pili amepelekwa coffee date na anasema he is just a friend 🙄🙄

Sisi k**a Gan Z we are busy building the nation in one way or the other,.. Wewe uko hapo ukipeleka madem dates.. 😂😂 Mnae...
04/07/2024

Sisi k**a Gan Z we are busy building the nation in one way or the other,.. Wewe uko hapo ukipeleka madem dates.. 😂😂 Mnaenda dates kwani economy iko sawa side yenyu, Mailod

Kudate jirani ni stress sana unatulia then unapata message beb uko poa naona umetoka choo tena💔😅😂😂
21/06/2024

Kudate jirani ni stress sana unatulia then unapata message beb uko poa naona umetoka choo tena💔😅😂😂

Leo nimejaribu kukula samaki 🎏 na mkate 🍞 k**a watu wa bible 😅nowanda walibakisha.??🤣😃
25/05/2024

Leo nimejaribu kukula samaki 🎏 na mkate 🍞 k**a watu wa bible 😅nowanda walibakisha.??🤣😃

Lakini madem mnapenda tu kulia bure. Sasa tumejuana juzi na ushani save 'My King' Angani Resort Subukia
28/04/2024

Lakini madem mnapenda tu kulia bure. Sasa tumejuana juzi na ushani save 'My King'

Angani Resort Subukia

KUFINISH KUMALO😃
28/04/2024

KUFINISH KUMALO😃

K**a uko na jacket inaeza beba kuku mbili nitext sai, kuna kazi imejipa🥰🥰🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️❤️❤️🎂❤️❤️
28/04/2024

K**a uko na jacket inaeza beba kuku mbili nitext sai, kuna kazi imejipa
🥰🥰🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️❤️❤️🎂❤️❤️

Address

Kilimani

Telephone

+254758628659

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DJ KEVIN posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to DJ KEVIN:

Share

Category