Dj Dazal KE

Dj Dazal KE Tableturnist

14/08/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Dominic Mokaya, Dïfrè Mñårëé II, Doreen Kerubo

07/08/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Mary Nyatichi Diana, Jacob Ondiek Oyaro, Beatrice Makori, Damacline Osoro, Bellah Dazal KE, Vdj Dazal KE, Perry Wambui

06/08/2024

Kidney imefika 8.9M🤨🤨
Wacha nilale 30min nifikirie 😄😅💔

17/07/2024

Before uvae mini skirt angalia miguu kwanza msituchekeshe
Tuko na stress 😂

04/07/2023

Nimetumia jina "Overwhelming"hapa ushago chief akasema nipee vijana advise Na bado sijaguza "audacity"🤣😂😂

17/05/2023

Kitambo nilikuwa natamani kuwa k**a babangu🧛 ... leo tulikuwa tunapiga stori akaniambia anatamani kuwa k**a mimi😂😂

Leo Nimeitwa sunshine🥰🥰😍😍 wakuu mnataka nizime jua saa ngapi kesho 🤔🙄😹😹
13/05/2023

Leo Nimeitwa sunshine🥰🥰😍😍 wakuu mnataka nizime jua saa ngapi kesho 🤔🙄😹😹

12/05/2023

Ata ww kuja Nairobi uone kaa utatuma pesa nyumbani 😁

12/05/2023

Kuna jamaa hapa Kwa hoteli ameitisha
Watermelon 🍉na chai 🍮 nimecheka karibu
Nimwage fanta yangu na
Cabbage 🤣🤣🙈🙈

15/04/2023

Sikatai maisha ni mtihani .. lakini mbna yangu Ni chem pp2...alafu maswali za organic nik**a zote..🤔🤔

15/04/2023

Lastborn: Nimepata balloon kwa wallet yako nikapelekea mum...anakuita🙄😁

13/04/2023

Funza mtoi wako akue mjanja mapema ..asikue anaomba Wangu soo 2 kila weekend 🤣💔

Address

Kisii

Telephone

+254706525675

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dj Dazal KE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dj Dazal KE:

Share

Category