KDT MEDIA

KDT MEDIA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KDT MEDIA, News & Media Website, Kisii.

KDT MEDIA (Kenyan daily trends) is an online platform media for News music and entertainment managed by Evans Omari
Please subscribe to our channel https://youtube.com/?si=Yvxlu44l21iaZOGM

🔥🥰💕👉Kule shuleni baada ya kuingia darasani nilipata bado mwalimu hajaweza kuingia nikaketi nikachukua daftari langu la h...
01/02/2026

🔥🥰💕👉Kule shuleni baada ya kuingia darasani nilipata bado mwalimu hajaweza kuingia nikaketi nikachukua daftari langu la hesabati na kuanza kufanya kazi ya ziada tulokuwa tumepewa huku nikusubiri mwalimu aje darasani.
Nikajaribu kutoa fikira zangu kuhusu Nelly nikashindwa kabisa.

Huku nikiendelea na kufanya hiyo kazi ya ziada kidogo mwalimu wa somo la Kemia aliingia darasani akatuambia hataweza kufunza juu hahisi vyema Kwa hivyo naye akatupa kazi ya kufanya na akaondoka.Wakati tu aliondoka nami niliona hapa siwezi kuwa na amani iwapo sijapata kumaliza mazungumzo naye Nelly.

Nikatoka darasani nikakimbia hadi msalani nikakagua iwapo kuna mtu yeyote humo nikapata hamna kisha nikatoa simu mfukoni na kuiwasha.Simu kuwaka tu hivi ujumbe uliingia nikaukagua kwa haraka nikapata ni kutoka kwake Nelly;

(Ujumbe kutoka kwake Nelly)

'Beb wangu najua unaweza kafikiria nakudanganya juu uko mbali nami.Mimi nataka tu kuavya hii mimba kabla haijaweza kuwa kumbwa nijulikane na babangu akijua kuwa niko na mimba najua hata karo hataweza kunilipia '

Kumaliza kuusoma huo ujumbe nilihisi niruke ukuta wa shule niende ili niweze kukutana naye Nelly ila nikaona juu karo tayari imeshalipwa nitatumia njia ingine ili niweze kupewa ruhusa ya kwenda nyumbani.
Muuda ulikuwa umeenda nikaona kumwandikia ujumbe Nelly hataweza kuupata juu labda unaweza pata ameshalala nikampigia simu na mrembo akaipokea kisha;

Me:Beb akh usije kaavya mimba juu unaweza fanya mwili wako uwe na shida.

Nelly:Shule nayo nitaenda kivipi juu wanafunzi wenzangu watanicheka?

Me:Beb niko kwa ajili yako nitajitahidi kutumia mbinu zozote kuhakikisha utakuwa salama na hata masomo nami ninaona nikiyakatisha kidogo ili niweze kutafuta mbinu mwafaka za kukusaidia.

Nelly:Usije wacha shule juu yangu tafadhali Beb.

Me:Itabidi mpenzi ili niweze kukutafutia.

Nelly:Hapana nitakuwa sawa.

Me:Akh nimekumisi sana mpenzi

Nelly: Nimekumisi pia.

Tukiwa tunaendelea na mazungumzo kidogo nilisikia nimeshikwa shati yangu na nyuma.Kugeuka kuangalia ni nani ambaye amenishika nikapata ni mlinzi wa shule.Nikashtuka hadi simu ikaanguka chini huyo mlinzi akaikota kutoka pale chini kisha;

Mlinzi:Unajua sheria za shule hii kweli?

Me: Hapana mie ni mgeni.

Mlinzi:So unataka kuleta ujeuri wako huku.

Me:Hapana tafadhali tunaweza kazungumza.

Mlinzi:Mimi sina cha kuzungumza nawe unaitwa nani kwanza?

Nikaona nikimwambia jina langu siku itakayofuata nitajulikana na nikijulikana nami ni mgeni nitapata kufukuzwa kutoka shuleni nikamdanganya naitwa Sam...

Part 2 loading
Nifikishie 200likes nilete hii kitu leo tu
Wacha kwanza nipike chajio naja niendelee.

Address

Kisii

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KDT MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share