Radio Matumaini

Radio Matumaini "𝐑𝐚𝐝𝐢𝐨 𝐌𝐚𝐭𝐮𝐦𝐚𝐢𝐧𝐢: 𝐘𝐨𝐮𝐫 𝐬𝐨𝐮𝐫𝐜𝐞 𝐟𝐨𝐫 𝐡𝐨𝐩𝐞!" 📻🌟

Goodevening   unawakilisha eneo lipi?
29/07/2025

Goodevening unawakilisha eneo lipi?

29/07/2025


Mtu anaulizia bei ya bidhaa hadi ana burgain kumbe hana pesa. Hapo amebant kabisa. Ni kipi kimekuudhi leo?

29/07/2025


Mchungaji anatulazimisha tufanye mchango wa kumjengea nyumba ilhali jengo la kanisa liko katika hali mbaya. Nilijaribu kuuliza mbona tusianze na kanisa kwanza,nikaambiwa kwamba nakosea mpakwa mafuta heshima. Nahisi kukwazika kuhudhuria ibaada pale. Nifanyeje?

It's a Tuesday ndani ya   na Malkia wa sifa Sally Akivaga na Choirmaster Maxwell Ludenyo, stage ni gani tukudrive back h...
29/07/2025

It's a Tuesday ndani ya na Malkia wa sifa Sally Akivaga na Choirmaster Maxwell Ludenyo, stage ni gani tukudrive back home?
📞📞. ✉️ 0708798345
📞 📞 ✉️ 0731673873

Good morning Mwanashangwe, Mida ni ya kazi ndani ya Shangwe Kazini nami Charity Kedogo   10am-2pm.Unachapa kazi na akina...
29/07/2025

Good morning Mwanashangwe, Mida ni ya kazi ndani ya Shangwe Kazini nami Charity Kedogo 10am-2pm.

Unachapa kazi na akina Nani?

Call/ Sms 0708798345

0731673873

Live Stream:- https://stream.zeno.fm/mi3entuhqgeuv

Good morning rafiki? Siri ni kuraukaa na kutia bidii..! Mengineyo Mungu anajalia.  wa Minyama Benjamin Angani Kaleha 6am...
29/07/2025

Good morning rafiki? Siri ni kuraukaa na kutia bidii..! Mengineyo Mungu anajalia.
wa Minyama Benjamin Angani Kaleha 6am to 10am.

Pin location na useme nani waamke?

28/07/2025

Barizi na Alista Siahi unawakilisha mtaa upi?

 Tabia ya kuenda msalani alafu unasalimia watu bila kunawa mkono ni ya ovyo sana. Ni kipi kimekukera leo?
28/07/2025


Tabia ya kuenda msalani alafu unasalimia watu bila kunawa mkono ni ya ovyo sana. Ni kipi kimekukera leo?

28/07/2025


Jirani yangu alikata ndizi ilikuwa imelala side yake anasema ikiwa upande wake ni yake, juzi kuku wangu ametaga kwa shamba lake akakula mayai ati kuku alitaga kwake, nifanye nini?

It's a new week,new blessings and new energy! Karibu upate selection kali ya muziki na mazungumuzo komavu unaporejea nyu...
28/07/2025

It's a new week,new blessings and new energy! Karibu upate selection kali ya muziki na mazungumuzo komavu unaporejea nyumbani ndani ya na Malkia wa Sifa Akivaga Choirmaster Maxwell Ludenyo. Unawakilisha eneo lipi?
📞📨0708798345
📞📨0731673873

Good morning rafiki? Wiki mpya nguvu mpya na tayari   6am to 10am.  wa Minyama Benjamin Angani Kaleha Pin location na us...
28/07/2025

Good morning rafiki? Wiki mpya nguvu mpya na tayari 6am to 10am.
wa Minyama Benjamin Angani Kaleha

Pin location na useme nani waamke?

Address

Kisumu

Telephone

+254105761427

Website

https://whatsapp.com/channel/0029Vb5Yq3UAu3aHfsNm4Q1t

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Matumaini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Radio Matumaini:

Share

Category