27/12/2024
Wanaume Someni hizi sheria za Barabarani π Zitakuokolea maisha siku Mojaπ€
1)ukiwa Kwa jam Hakikisha umelock mlango π sana sana k**a gari ni ya kuomba, unaeza patana na mwenye gari aingie ndaniπ’ama hata mwizi.
2)k**a gari ni ya kuiba, usipite nayo area ya kwenyuπutashikwa nanii
3)k**a gari ni mpya, eka gear pole pole usije ukaharibu gearboxπ
4)k**a kuna traffic light ya red π¨ usiingie hiyo barabara..utapata accident π
5) usiendeshe gari usiku,π afadhali mchana ndo uone mahali unapitaπ
6) usiendeshe gari kukiwa kunanyeshaπ ni hatari. Achana nayo, π ichukue siku climate Iko best,π€£
7) gari ikipandisha gauge, I park kando kiasi ipumue. Juu inaeza knock engine.βοΈπ
π gari si kuzungusha stearing pekee na kueka GIAπgari ni kuichambua kila pahaliπ
9) usiendeshe gari k**a hakuna Ngomaπeka mix ya Dj moja ujibambe.
10) ukitaka gari ikimbie sana sana Kwa mteremko, kanyaga clutch ndaniπ€£
11) ukiona gari haitoi sauti Kwa mlima, Anza kutoa sauti hata weweπ€£
12) Kwa highway, zoea kupita kando kando...katikati ni ya gari kubwaβοΈπ
13) ukisimamishwa na karao, usisimame, fikisha mzigo kwanzaπ
14) ukimaliza Hakikisha umedunga hiyo gari mia Tano ya mafuta..isiende kuzimia mbele.
15) ........ongeza yako Moja tuiskieπ€£
Na k**a unadani naongelea gari uko na kasoro my dearπ€£π€£π.
Ongeza moja tukisongaπ€£π€£ #