06/02/2026
Gachagua ataje, asitaje!
Kiongozi wa DCP H.E. Rigathi Gachagua, EGH atishia kuwataja kwa majina waliomshambulia katika kanisa ya Witima, Othaya mwezi uliopita.
Amesema ana ana taarifa za kijasusi, picha na video za waliohusika.
Follow MAXS FM RADIO