AlHasanat TV

AlHasanat TV We are aimed at empowering the muslim youths through education and talent development. https://anchor.fm/s/5aca9144/podcast/rss

https://bit.ly/AlhasanatTV

07/05/2026

Assalam aleykum.
Jumaah Mubarak.
Tunamuomba Allah atufungulie milango ya baraka.
Ameen.

01/05/2026

Ijumaa ni ukumbusho kwamba rehema za Allah hazikatiki. Haijalishi umefanya dhambi gani au umekosea mara ngapi mlango wa tawba uko wazi.
Rudi kwa Allah.

29/04/2026

Siku Nyeupe
(Ayyam al-Beedh) za mwezi wa Dhul-Qa’dah mwaka 1447 AH zinaanza kesho Alhamisi hadi Jumamosi. Kufunga siku hizi ni Sunnah yenye malipo makubwa.

03/04/2026

Jumaah Mubarak!
Enyi mlioamini! Inapotangazwa wito wa Swala siku ya Ijumaa, kimbilieni kumkumbuka Allah na acheni biashara. Hayo ni bora kwenu ikiwa mnajua.
Surah aljumaa 62:9

31/03/2026

Siku nyeupe za mwezi wa shawal zinaanza Kesho.
Tujitahidi kufunga na tunamuomba Allah atutakabalie funga yetu. Ameen.

28/03/2026

Alhamdulillah Rabbil Alamin.

Jumaah Mubarak.
27/03/2026

Jumaah Mubarak.

24/03/2026

Assalam aleykum.
Nikukumbushana kwamba ingawa tumemaliza mfungo wa Ramadhani tusiache kufanya Ibada.
Allah atufanyie wepesi.
Ameen.

19/03/2026

Eid Mubarak!
K**a Allah amekuwezesha kukamilisha Ramadhan sema alhamdulillah.

18/03/2026

Mwezi wa Shawal haujaandama.
Kesho tunakamilisha Ramadhan 30.
Eid ul Fitr itakuwa Ijumaa 20 Machi 2026.

Address

9446
Kisumu
00400

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AlHasanat TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share