P.Radio Muliko la jamii

P.Radio Muliko la jamii P Radio ni nyumbani kwa jamii zote za kaunti 47 nchini kenya. Kituo kinachopeperusha vipindi na habari kwa ubora wake.

Stesheni yenye nafasi za magwiji wenye sanaa za utangazaji. Call/whatsapp +254100930859 streamI https://stream.zeno.fm/t3zox8dimenvv

KSSSA NATIONALS TERM 2 UPDATE:WEDNESDAY 30TH JULY 2025:FOOTBALL ⚽ BOYS RESULTS:FT: Musingu High SCh 9–2 Garissa High. FT...
30/07/2025

KSSSA NATIONALS TERM 2 UPDATE:

WEDNESDAY 30TH JULY 2025:

FOOTBALL ⚽ BOYS RESULTS:

FT: Musingu High SCh 9–2 Garissa High.

FT: Highway Sec Sch 3–3 Kirangari Boys.

FT: St Joseph's Kitale 3–1 Serani Boys.

FT: Agai Mixed Sec 1–0 Moi Mbiruri High

Watu wangu Musingu High School wapewe hii kitu. Vinginevyo sioni mtu wa kumsimamisha Scorpions 🦂. Kupiga mtu 9 inaonesha wako viwango vingine...

🇰🇪 muliko la spoti

 Drive back na Hillary Wafula Hadi saamoja za usiku. unategea ukiwa wapi?
30/07/2025


Drive back na Hillary Wafula Hadi saamoja za usiku. unategea ukiwa wapi?

 Tume ya kudhibiti vileo nchini NACADA imepiga marufuku uuzaji wa pombe katika maeneo ya makazi, maduka makubwa, mikahaw...
30/07/2025


Tume ya kudhibiti vileo nchini NACADA imepiga marufuku uuzaji wa pombe katika maeneo ya makazi, maduka makubwa, mikahawa, majukwaa ya mtandaoni, usafirishaji wa bidhaa nyumbani na taasisi zote za masomo, aidha NACADA imeongeza umri halali wa kununua, kuuza na kunywa pombe humu nchini kutoka miaka 18 hadi 21.

Good morning? karibu ndani ya p radio asubuhi na  Kevin Khisa Hadi saanne.  .
30/07/2025

Good morning? karibu ndani ya p radio asubuhi na Kevin Khisa Hadi saanne.

.

Kamati Kuu ya Chama cha Orange Democratic Movement (ODM), ikiongozwa na Kiongozi wa Chama Raila Odinga, imekutana leo Na...
29/07/2025

Kamati Kuu ya Chama cha Orange Democratic Movement (ODM), ikiongozwa na Kiongozi wa Chama Raila Odinga, imekutana leo Nairobi na kupitisha maazimio saba muhimu yanayobadilisha kabisa dira ya chama hicho.

Katika taarifa yao rasmi, chama hicho kilitangaza kuwa kitaunga mkono ushirikiano na serikali ya Kenya Kwanza kupitia utekelezaji wa Mkataba wa Maelewano (MOU) uliotiwa saini na kuhakikisha kuwa masilahi ya wananchi yanawekwa mbele

siku yako imekuwaje? karibu ndani ya kipindi hiki kipya cha semi za kiutuzima ambapo papa engineer papa sifuma anakupaku...
29/07/2025

siku yako imekuwaje? karibu ndani ya kipindi hiki kipya cha semi za kiutuzima ambapo papa engineer papa sifuma anakupakulia mambo matamu kweli kweli Hadi masaa ya sita usiku.
, .

 Uwanja mkubwa wa michezo humu nchini ulopewa jina la ´Talanta´utajengwa kwa mkopo kupitia mauzo ya dhamana za serikali....
29/07/2025


Uwanja mkubwa wa michezo humu nchini ulopewa jina la ´Talanta´utajengwa kwa mkopo kupitia mauzo ya dhamana za serikali. Serikali imeorodhesha dhamana hizo kwenye soko la hisa la Nairobi ikilenga kukusanya dola milioni 347 za kujenga uwanja huo utakaotumika kwenye michuano ya soka ya mataifa ya Afrika, AFCON 2027. Baadhi ya Wakenya wamekosoa njia hiyo wakisema itafanya gharama za ujenzi kuwa kubwa. Serikali yasema njia hiyo ya kukusanya fedha ndio sahihi. Tupe maoni yako??

KIKI ZA MASTAA 🔥 🔥 KUMBE ZUCHU ANA UJAUZITO!!!Msanii Zuchu ambaye amekuwa haonekani sana mtandaoni na katika mitaa za Ta...
29/07/2025

KIKI ZA MASTAA 🔥 🔥
KUMBE ZUCHU ANA UJAUZITO!!!
Msanii Zuchu ambaye amekuwa haonekani sana mtandaoni na katika mitaa za Tanzania inasemekana ana ujauzito wa Simba wa miezi miwili.

Kulingana na taarifa, mamake Diamond alitaka sana mwanawe amuoe Zari the Bosslady ila Zuchu naye amemteka Platnumz.

Japo wengi wanaona Zuchu ndiye anampenda Platnumz sana, msanii huyo wa 'Sukari' alikwishahamia kwa Platnumz na hivi sasa wanaishi pamoja Madale.

 GEN Z APATA KAZI YA HAIBAGavana wa kaunti ya Murang’a Irungu Kang’ata amemteua Nicholas Ngandu mwenye umri wa miaka 27 ...
29/07/2025


GEN Z APATA KAZI YA HAIBA
Gavana wa kaunti ya Murang’a Irungu Kang’ata amemteua Nicholas Ngandu mwenye umri wa miaka 27 k**a Msaidizi wake mpya wa Kibinafsi (PA).

Gavana Kang’ata ametoa tangazo hilo kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, akiangazia stakabadhi za kitaaluma za Ngandu na utendakazi wake bora wakati wa Kongamano la Uwekezaji la Murang’a.

Ngandu ana shahada ya Biashara Mawasiliano na Teknolojia na kwa sasa anasomea Shahada ya Uzamili ya Cybersecurity.

Gavana huyo amesifu "ujuzi mzuri kati ya watu" na juhudi za "kujitolea" wakati wa Kongamano la Uwekezaji la Murang’a, ambapo alichukua jukumu muhimu katika ugavi na ushirikishwaji wa washikadau mbalimbali.

Akiwa na umri wa miaka 27, Ngandu anawakilisha demografia ya kizazi cha Gen Z, na kuleta mitazamo mipya kwa uongozi.

 Kufuatia mkutano wa mgogoro uliobuniwa na Kiongozi wa Chama cha ODM Raila Odinga, viongozi wakuu wa chama cha chungwa w...
29/07/2025


Kufuatia mkutano wa mgogoro uliobuniwa na Kiongozi wa Chama cha ODM Raila Odinga, viongozi wakuu wa chama cha chungwa wamejitolea kuendelea kuunga mkono serikali ya Rais Ruto ya Kenya Kwanza.

Katika taarifa iliyosomwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Edwin Sifuna, ODM imesema kwamba itashinikiza kutekelezwa kwa ripoti ya NADCO na Mkataba wa Maelewano wa UDA-ODM wenye pointi 10.

Sifuna amesema kuwa chama pia kitashinikiza kuwepo kwa kongamano la kitaifa la vizazi kwa ajili ya kujadili ajenda ya vijana.

Seneta huyo ambaye amezungumza wazi zaidi ameongeza kuwa wajumbe wa Kamati Kuu huenda walihudhuria mkutano huo wakiwa na maoni tofauti lakini sasa wamefikia mwafaka wa kuunga mkono serikali yenye msingi mpana.

 .Kampuni maarufu ya B’ett!ng nchini Kenya imekosa kuamini kwa kuponywa pesa zote, baada ya mwekezaji kutoka jijini  Nai...
29/07/2025

.
Kampuni maarufu ya B’ett!ng nchini Kenya imekosa kuamini kwa kuponywa pesa zote, baada ya mwekezaji kutoka jijini Nairobi, JACOB MUTISO, kushinda Kes Milioni 25 kwa siku moja. Kampuni hiyo sasa imemwomba Mtiso kuipa Muda WA kuzitafuta pesa za kujazia kufika millioni 25.

Jacob Mutiso hakuamini macho yake. Baada ya miaka mingi ya kufanya biashara ndogo ndogo na faida ndogo, uvumilivu wake hatimaye ulizaa matunda aliposhinda jackpot ya shilingi milioni 25 kwa siku moja. Akiwa amejawa na furaha, aliharakisha hadi afisi mashuhuri za kampuni ya b’ettng jijini Nairobi kuchukua zawadi yake ya kubadilisha maisha.

  na Burudani.p radio fm imezindua gazeti la hadithi na burudani....pata uhondo wa hadithi kila siku kwa kutembelea ukur...
29/07/2025

na Burudani.
p radio fm imezindua gazeti la hadithi na burudani....pata uhondo wa hadithi kila siku kwa kutembelea ukurasa wetu wa Facebook.

Weka comment chini iwapo unahitaji kujua 'What next" 😁😁

Address

Kitale Town
Kitale
30208

Telephone

+254100930859

Website

https://onlineradiobox.com/ke/pradio/, https://pradio.radiostream123.com/

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when P.Radio Muliko la jamii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to P.Radio Muliko la jamii:

Share