P.Radio Muliko la jamii

P.Radio Muliko la jamii P Radio ni nyumbani kwa jamii zote za kaunti 47 nchini kenya. Kituo kinachopeperusha vipindi na habari kwa ubora wake.

Stesheni yenye nafasi za magwiji wenye sanaa za utangazaji. listen on our app https://p-radiofm.base44.app

Kati ya Lamine Yamal na Lionel Messi nani mkali?Dakika 90 zitamua simba dume na jike!!Tupe ubashiri wako??
19/07/2026

Kati ya Lamine Yamal na Lionel Messi nani mkali?
Dakika 90 zitamua simba dume na jike!!
Tupe ubashiri wako??

 TROSSARD AJIUNGA NA BESIKTAS YA UTURUKI.Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji, Leandro Trossard, ameondoka rasmi klabun...
15/07/2026


TROSSARD AJIUNGA NA BESIKTAS YA UTURUKI.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji, Leandro Trossard, ameondoka rasmi klabuni Arsenal na kujiunga na miamba wa Uturuki, Beşiktaş, kwa mkataba wa kudumu.

Trossard, mwenye umri wa miaka 31, anaondoka London Kaskazini baada ya kuitumikia Arsenal kwa miaka mitatu, akicheza mechi 174 na kufunga mabao 36.

Mchango wake mkubwa zaidi utakumbukwa msimu uliopita, ambapo alifunga bao la ushindi dhidi ya West Ham United lililoipa Arsenal taji la kihistoria la Ligi Kuu ya Uingereza la msimu wa 2025/26.

Kabla ya kutua Arsenal mnamo Januari 2023 akitokea Brighton, Trossard aling'ara nchini kwao akiwa na klabu ya Genk. Kimataifa, ameichezea Ubelgiji mechi 57 na kufunga mabao 14.

Klabu ya Arsenal imemshukuru kwa mchango wake mkubwa na kumtakia kila la heri nchini Uturuki. Uhamisho huu sasa unasubiri tu taratibu za mwisho za kisheria kukamilika.

23/06/2026

Good morning

Kithure Kindiki alivyotua Uasingishu.
22/06/2026

Kithure Kindiki alivyotua Uasingishu.

22/06/2026

WE ARE BACK...EXPECT SOMETHING GOOD SOON! 🫰🫰

07/05/2026

We finally got over 2K reactions on our posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉 Keep listening and following P.Radio Muliko la jamii

04/05/2026

UNATEGEA P RADIO KAZINI UKIWA WAPI?

Mvua imezidi tena! dalili ya mawingu inatangaza Kila saa😁😁Huku Nairobi mawingu yanakaa hivi 👇👇 Na mvua inanyesha tangu J...
26/04/2026

Mvua imezidi tena! dalili ya mawingu inatangaza Kila saa😁😁Huku Nairobi mawingu yanakaa hivi 👇👇 Na mvua inanyesha tangu Jana 🫣
Huko je? 😆


Huko uliko maandamano yamekuweko? je kuna wale walioadhirika?
21/04/2026

Huko uliko maandamano yamekuweko? je kuna wale walioadhirika?


Address

Kitale Town
Kitale
30208

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when P.Radio Muliko la jamii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to P.Radio Muliko la jamii:

Shortcuts

Share