Journalist Mandela Nelson.

Journalist Mandela Nelson. Content creator.

17/08/2026

Iwapo umeamka salama ambia Mungu Asante

Situation kule Homabay, Kwani huko hakuna lami, mnatuchafulia our 6th president H.E Edwin W. Sifuna  ๐Ÿค”๐Ÿค”. But msijali ame...
16/08/2026

Situation kule Homabay, Kwani huko hakuna lami, mnatuchafulia our 6th president H.E Edwin W. Sifuna ๐Ÿค”๐Ÿค”. But msijali amekuja kuwakomboa

Wakati wa mapigano ya bullfighting let's keep distance tusipoteze maisha kiholela.
16/08/2026

Wakati wa mapigano ya bullfighting let's keep distance tusipoteze maisha kiholela.

A Grisly accident at Mbihi in Vihiga county has claimed one life this morning...A black Sunday indeed...Tuombeane aki......
16/08/2026

A Grisly accident at Mbihi in Vihiga county has claimed one life this morning...

A black Sunday indeed...
Tuombeane aki...ajali zimekua mingi sana.

Bado nimeshangaa sana, huku ni wapi wanapanga makaa hii design.
16/08/2026

Bado nimeshangaa sana, huku ni wapi wanapanga makaa hii design.

Leo nimekakamata, kuku walikuwa hawana amani. Kumbe kanaitwaje..??
16/08/2026

Leo nimekakamata, kuku walikuwa hawana amani. Kumbe kanaitwaje..??

Homa Bay Town imewaka! Kaluma na Wanga hawaamini macho yao! ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ
16/08/2026

Homa Bay Town imewaka! Kaluma na Wanga hawaamini macho yao! ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ

Washukiwa wawili wa genge la uhalifu, Hillary Odhiambo na James Oloo Otieno, wamekamatwa katika Barabara ya Nthiwa eneo ...
16/08/2026

Washukiwa wawili wa genge la uhalifu, Hillary Odhiambo na James Oloo Otieno, wamekamatwa katika Barabara ya Nthiwa eneo la Yamase, Kaunti ya Migori.

Maafisa wa upelelezi walipata mapanga matano na silaha nyingine duni ndani ya gari lao. Polisi wanawasaka washukiwa wengine wanaohusishwa na genge hilo huku wawili hao wakisubiri kufikishwa mahakamani.

Am awarding the first 50 people to follow me 50 bob credo.
16/08/2026

Am awarding the first 50 people to follow me 50 bob credo.

Msichana mwenye umri wa miaka 21 anayefahamika kwa jina la Roby kutoka eneo bunge la Malava, kaunti ya Kakamega, anashik...
16/08/2026

Msichana mwenye umri wa miaka 21 anayefahamika kwa jina la Roby kutoka eneo bunge la Malava, kaunti ya Kakamega, anashikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Kabras kwa tuhuma za kumtupa mwanawe chooni.
Inaelezwa kuwa msichana huyo, ambaye alikuwa akiishi katika nyumba ya kupanga katika soko la Kimangโ€™eti, amekuwa akikabiliwa na changamoto za maisha, hali inayodhaniwa kuwa huenda ilichangia kutokea kwa tukio hilo.
Wakati huo huo, maafisa wa usalama wameanzisha uchunguzi ili kubaini mazingira yaliyosababisha tukio hilo. Inaumiza sana ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”

Address

30
Kitale

Telephone

+254746682279

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Journalist Mandela Nelson. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share