Ekadeli Media

Ekadeli Media 🎀 Journalist | Live News | Politics | Community Updates | Trans Nzoia β€’ Kenya

21/08/2026

Mtu anisaidie hapaa.
Je ni vyema mwanaume kukaa na mke wake jikoni na hataa kumsaidia shughuli za ndani??

ladies Hi
Men. Hey
mnaonaje??

Chanua mwenzako.watu wangu wa kwanza mnamuonaje huyu Mweshimiwa Sarah lubano ambaye ni MCA wa kwanza ward sasa hivi??Tun...
21/08/2026

Chanua mwenzako.
watu wangu wa kwanza mnamuonaje huyu Mweshimiwa Sarah lubano ambaye ni MCA wa kwanza ward sasa hivi??

Tunaelekea 2027 ametangaza pia kuwania katika kinyanganyiro cha u MCA kwanza jee anaweza awezi.

na katika uongozi wake wa miaka kumi umekua aje ?

21/08/2026

Who is your preferred candidate for Member of Parliament in kwanza constituency 2027, Unaona nani akiibadilisha maendeleo ya eneo hilo hiwe bora zaidi???

Herd of camels spotted in the Kerio Valley!A beautiful sight as these camels make their way through the scenic Kerio Val...
20/08/2026

Herd of camels spotted in the Kerio Valley!

A beautiful sight as these camels make their way through the scenic Kerio Valley.

Natural hair challenge β™₯οΈπŸ’ž drop your picture in natural hair we see you πŸ₯°πŸ˜˜β€οΈ boys vs girls 😜
20/08/2026

Natural hair challenge β™₯οΈπŸ’ž drop your picture in natural hair we see you πŸ₯°πŸ˜˜β€οΈ boys vs girls 😜

  pundeAJIFANYA PADRI NA HATA KULISHA WAUMINI SAKRAMENTI BANDIA.Mwanamume mmoja kutoka Kisii, Jones Bogonko Onchonga, am...
20/08/2026

punde
AJIFANYA PADRI NA HATA KULISHA WAUMINI SAKRAMENTI BANDIA.
Mwanamume mmoja kutoka Kisii, Jones Bogonko Onchonga, amek**atwa kwa tuhuma za kujifanya padri wa Kanisa Katoliki na kutoa sakramenti bila idhini.

Jimbo Katoliki la Lodwar limemfichua Onchonga kwa kutumia stakabadhi bandia za Kanisa kuendesha ibada katika makanisa kadhaa, ikiwemo St. Augustine Cathedral, Kalokol, St. Thomas Chapel na St. Mary’s Lodaraja.

Ripoti zinaarifu kuwa mtuhumiwa alionekana pia akiongoza Misa Takatifu pamoja na Askofu John Mbinda kabla ya ukweli kubainika,Kanisa hilo limemkana waziwazi na kuwaonya waumini dhidi ya kushirikiana naye k**a padri.

Senator Boni Khalwale identifies the ground position where his late wife, Gloria, will be buried tomorrow
20/08/2026

Senator Boni Khalwale identifies the ground position where his late wife, Gloria, will be buried tomorrow

Msaada wako unaweza kumrudisha mtoto nyumbani πŸ™Christine Mudenyo anatafuta familia yake. Amepatikana Kobos, Kapomboi War...
20/08/2026

Msaada wako unaweza kumrudisha mtoto nyumbani πŸ™
Christine Mudenyo anatafuta familia yake. Amepatikana Kobos, Kapomboi Ward, Trans Nzoia County.
Mama yake anaitwa Lilian Kadogo.
Kwa sasa yuko salama mikononi mwa Msamaria Mwema.

Ikiwa unamfahamu tafadhali piga 0141382572

πŸ’” NI UCHUNGU SANA!Mtoto mdogo amedaiwa kupatikana ametupwa ndani ya mfuko karibu na Engineer Town, Kinangop, Nyandarua. ...
20/08/2026

πŸ’” NI UCHUNGU SANA!

Mtoto mdogo amedaiwa kupatikana ametupwa ndani ya mfuko karibu na Engineer Town, Kinangop, Nyandarua. 😒

Inadaiwa mbwa walikuwa tayari wameanza kuuvuta mfuko huo kabla mtoto kuokolewa. πŸ’”πŸ˜­

Mtoto asiye na hatia kutelekezwa hivi? Ni nini kilitokea?

Mama mwenye umri wa miaka 130 amehudhuria mazishi ya Elizabeth Wambui Waweru huko Kiriita, Makutano Ward, Cherangany Con...
20/08/2026

Mama mwenye umri wa miaka 130 amehudhuria mazishi ya Elizabeth Wambui Waweru huko Kiriita, Makutano Ward, Cherangany Constituency, Trans Nzoia County.
Kufika kwake katika hafla hiyo kumewagusa wengi, huku akiwa miongoni mwa waombolezaji waliokuja kutoa heshima za mwisho kwa marehemu. πŸ’”πŸ™
Miaka 130, lakini bado amefika kushiriki katika kumpa marehemu heshima ya mwisho.

Address

Kwanza
Kitale
522

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ekadeli Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ekadeli Media:

Shortcuts

Share