14/09/2025
1. Punda ale asile, hubebeshwa mizigo tu!
2. Ukibaki nyuma, utaachwa nyuma.
3. Yaliopita yamepita, lakini yapo tu hayapotei wala hayafutiki.
4. Mama yako ni mama.
5. Ukipata matatizo yatatue, ukingojea yatakushinda.
6. Kula chako ulale.
😊😊😊😊🙏🙏🙏🙏🙏 Løyål Ålbêrt 2 Løyål Ålbêrt