19/12/2024
Wakadinali Fans Let Us Gather Here!
Victim of Madness has one of the best Drill Hip Hop album produced in Afrika over the past decade. Hio Album Wakadinali sang when rent was due buana.
Apart from the deadily flow of drill, the album ilikua na message hatari sana especially about crime among the youth. Drill by the way ilianzia huko UK and it has always been associated with crime.
Kwa hii album Wakadinali were singing about nini humotivate crime, vile society Iko affected and how the police relate with the crime. Gun violence and extra judicial killings are also heavily mentioned in the album.
Here are some memorable punchlines from the album:
1. Triple XL- "Ati mans nimegeuka Thanos, Kila hustle naingiza muscle, Nyongolo kwa dance floor next thing, gunshot" - Sewersyda.
" Ntafanya venye alifanya Khal Drogo
Khaleesi mother of dragons
Leta mengo me nileta vita." - Munga
" Ngumi mpaka ameze taxin, kumbe hunanga mdomo ukiwa offline." - Scar
2. Extra Pressure- "Party is lit tumejindasu mtaa, Na mangeus wa varsity, High school zii hatutaki sin yoh, Tuna ethic si si wa-rekless G"- Sewersyda
"Robbery jogoo road walivuka na Sadaka ya CITAM, IG Boinett the retired of late, IG model si mtam heri hata ningefish kwa lake"- Sewersyda
"Na sijai ogopa deni naitwanga, Dochman mwizi sinaga profession"- Munga
"Rough na in fact, alikuwa lucky enough, Ngware alfariji tuko on unaeza, Dhani ni majira
Niliraukia marikiti kubuy nanasi za muratina" - Munga
"Uh, walidhani kovu mi nacheza, Until wakacheza na pesa, Mbleina alishandwa jikoni kwa keja utashindwa Ni damu ama Peptang." - Scar
"Ovacado juu ya bread songa kando, Nyi watoto wa margarine" - Scar
3. Dilated- "Area code ni maili ya Saba Android ilipeana mbogi"- Sewersyda
"Shori alitaka namba amezoea kuchimba
Kachimbe fossils walifuatwa kutoka outta
Wak**adwa Kagundo Road Mowlem"- Sewer
"Tourist mwenye aligongwa na
Hawker akatoboka madollar, sorry
Welcome to Nairobi though, chunga pori yoh" - Sewer
"Chuom tunashin