
16/06/2025
Rais William Ruto ametoa mchango wa Shilingi Milioni 2 kwa familia ya Albert Ojwang inayoomboleza.
Ojwang alifariki akiwa mikononi mwa polisi katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Nairobi, siku chache baada ya kuk**atwa kwa kilichotajwa k**a kumharibia jina Naibu jenerali mkuu wa Polisi kupitia mtandao wa kijamii.
Mchango wa Rais unalenga kusaidia familia kwa gharama za mazishi na mahitaji mengine ya haraka.