Mitume Radio

Mitume Radio MITUME RADIO IS OWNED BY THE CATHOLIC DIOCESE OF KITALE
(1)

Mitume Radio 89.7 Fm is your favourite Broadcasting Radio Station located in Kitale kenya in the NorthRift region of Kenya.We entertain,Inform and Educate and also being part of your life everyday. YOUTUBE LINK: https://www.youtube.com/c/MITUMERADIO897FM

PODCAST LINK:https://hubhopper.com/podcast/mitume-radio/333453

16/09/2025

Jumanne k**a hii tunazungumzia maswala ya ndoa na jamii ndani ya . Je uko tayari kuchangia kwenye mada ya leo? Basi tegea 89.7fm usikie mambo.


hapaa....!!!!

Masaa ni ya Mitume Drive kipindi mnyama kuanzia kumi hadi mbili usiku na   pata masaa matatu ya uhondo na burudani ndani...
16/09/2025

Masaa ni ya Mitume Drive kipindi mnyama kuanzia kumi hadi mbili usiku na pata masaa matatu ya uhondo na burudani ndani ya 89.7Fm pia fuatilia kote duniani kupitia www.zeno.fm/mitumeradio.

Hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la bunge la kaunti ya Pokot magharini inafanyika hii leo, ikuhudhuriwa na gavana wa jim...
16/09/2025

Hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la bunge la kaunti ya Pokot magharini inafanyika hii leo, ikuhudhuriwa na gavana wa jimbo hilo Simon Kachapin.


Kuna raha ndani ya Kristu. Baada ya Maaskofu John Mbinda wa Jimbo Katoliki la Lodwar na Henry Juma Odonya wa Jimbo Katol...
16/09/2025

Kuna raha ndani ya Kristu. Baada ya Maaskofu John Mbinda wa Jimbo Katoliki la Lodwar na Henry Juma Odonya wa Jimbo Katoliki la Kitale kuhubiri ujumbe wa amani, upendo na ushik**ano baina ya jamii za Turkana, Pokot na Karamojong katika eneo la Lorengkipi - Dayosisi ya Lodwar, walituzwa zawadi ya kipee k**a jinsi uonavyo kwenye picha hii.

Hongera kwa Maaskofu wetu kwa kuwa nguzo na kiunganishi cha amani baina ya jamii hizi tatu.


.
.

.

15/09/2025

Baraza la vyombo vya habari nchini MCK na shirika la Centre for Enhancing Democracy and Good zimeshirikiana kutoa hamasa kwa wanahabari wa nyanjani na wakuu wa vituo vya radio Kaunti ya Pokot Magharibi kuhusiana na swala la ukeketaji, kuweka mikakati ya ushirikiano wa kuangazia na kuripoti visa hivyo kwa kusudi la kupunguza kutoka asilimia 44% hadi 0%.

15/09/2025

Ni makala ya Jumatatu(8pm-12am)


Unategea ukiwa wapi?

Cross-Border Peace mass 13-9-2025 Lorinkipi Lordwar Diocese"  of Hope Walking Towards Peace 🕊️"Catholic Diocese of Kital...
15/09/2025

Cross-Border Peace mass 13-9-2025 Lorinkipi Lordwar Diocese
" of Hope Walking Towards Peace 🕊️"
Catholic Diocese of Kitale. Catholic Diocese of Lodwar

Leo tutakua nae Hon. Wesley Kipchumba Korir tukiangazia maswala ya Uongozi,Uchumi na mchango wake katika maendeleo hasa ...
15/09/2025

Leo tutakua nae Hon. Wesley Kipchumba Korir tukiangazia maswala ya Uongozi,Uchumi na mchango wake katika maendeleo hasa katika eneo bunge la cherengany....Karibu

Kariiiiiiiiiiibu saana sauti ya Wito imeteka anga...Unaitikia wito ukiwa wapi na kina naniiii?Leo katika miito yetu tuna...
14/09/2025

Kariiiiiiiiiiibu saana sauti ya Wito imeteka anga...
Unaitikia wito ukiwa wapi na kina naniiii?
Leo katika miito yetu tunaangazia absent and present parenting wewe ni absent parent au present parent tusemezane.....
Hapa tunakuza familia katika misingi ya kikrito


.7fm

Online 👉👉👉 www.zeno.fm/mitumeradio

Misa ya Kipaimara parokia ya Holy Cross KachelibaLeo, Baba Askofu Henry Juma Odonya, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kitale,...
14/09/2025

Misa ya Kipaimara parokia ya Holy Cross Kacheliba

Leo, Baba Askofu Henry Juma Odonya, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kitale, ameongoza Misa Takatifu ya Kipaimara katika Parokia ya Holy Cross Kacheliba, eneo la kipastorali la Pokot Magharibi.

Katika Misa hii, waamini wengi waliungana kusherehekea sakramenti hii muhimu ya imani, ambapo Zaidi ya wakristu 350 walipokea zawadi ya Roho Mtakatifu ili wawe mashahidi hodari wa Kristo.

Tunaendelea kumwomba Bwana awatie nguvu wapya waliopokea Kipaimara, na kulijalia jimbo letu amani na mshik**ano wa Kikristo.
Catholic Diocese of Kitale.

Misa ya Kipaimara  Parokia ya Holy Cross KachelibaLeo, Baba Askofu Henry Juma Odonya, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kitale...
14/09/2025

Misa ya Kipaimara Parokia ya Holy Cross Kacheliba

Leo, Baba Askofu Henry Juma Odonya, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kitale, ameongoza Misa Takatifu ya Kipaimara katika Parokia ya Holy Cross Kacheliba, eneo la kipastorali la Pokot Magharibi.

Katika Misa hii, waamini wengi wameungana kusherehekea sakramenti hii muhimu ya imani, ambapo vijana wamepokea zawadi ya Roho Mtakatifu ili wawe mashahidi hodari wa Kristo.

Tunaendelea kumwomba Bwana awatie nguvu wapya waliopokea Kipaimara, na kulijalia jimbo letu amani na mshik**ano wa Kikristo.
Catholic Diocese of Kitale.

Askofu John Mbinda wa Jimbo Katoliki la Lodwar pamoja na Askofu Henry Juma Odonya wa Jimbo Katoliki la Kitale, wahimiza ...
14/09/2025

Askofu John Mbinda wa Jimbo Katoliki la Lodwar pamoja na Askofu Henry Juma Odonya wa Jimbo Katoliki la Kitale, wahimiza wananchi kutoka jamii ya Pokot, Turkana na Karamojong kuishi kwa amani, upendo na undugu.

Ujumbe huu ulisheheni hapo jana katika mazungumzo yao amani katika eneo Lorengkipi, Turkana.



Address

Church Road
Kitale
30200

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mitume Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mitume Radio:

Share

Our Story

Mitume Radio 89.7 Fm is your favourite Broadcasting Radio Station located in Kitale kenya in the NorthRift region of Kenya.We entertain,Inform and Educate and also being part of your life everyday.