Pilot Zazi fun page

Pilot Zazi fun page Its all about you

26/08/2025

Some ladies are single today
because they wanted to get paid for being in a relationship. It is what it is!🤔🤔

14/08/2025

Gone are the days when we don't talk to ladies to fall in love directly.... Westlife music used to do the talking 🥰😁🤣

14/08/2025

i have no problem being corrected, just mind your tone and attitude when you do.

10/08/2025

Mkinipea kura zenu 2027 hii ndio manifesto yangu!

(1) Nina toa ahadi kwamba kila boma tutaweka mfereji ya maziwa utakuwa unafungua tu maziwa inatoka k**a maji

(2) kila mama mboga hatapata Kisu ya Stima

(3) siku ya mwizi itakuwa 20 haitakuwa Tena siku 40

na Vitu mingi sana nitashukisha Adi bei nafuu
Ama namna gani.my friends 🤣🤣🤣🤣🤣
Vote for me

Lately, the headlines have been hotter — and not for good reasons. Several male teachers have been exposed for inappropr...
21/07/2025

Lately, the headlines have been hotter — and not for good reasons.

Several male teachers have been exposed for inappropriate relations with girl students. The latest drama unfolded at Kaplong Girls, where things escalated so fast, the school had to be closed after the girls went on rampage.

Now listen — if you're a male teacher and you're secretly having an affair with a student, REPENT, change and immediately seek transfer. If you can't, RESIGN , and kindly start preparing your CV for farming. The only harvest you should be focusing on is maize, not minors.

Because if you don’t take the honorable exit now, you might just celebrate your 70th birthday at Manyani Maximum Prison, complete with a uniform and no visitors — except maybe DCI.

Hadi nikaenda na simu kwa choo ndio nisichelewe kurudisha SMS lakini wapi 💔🥲
20/07/2025

Hadi nikaenda na simu kwa choo ndio nisichelewe kurudisha SMS lakini wapi 💔🥲

20/07/2025

Chemistry was one hell subject!!!😂😂😂
Unaingia exam room unapata Q1 hujawai sikia tangu form one😂😂unaenda Q2,unapata inasema explain your answer in Q1above!!!👀unaisha na nguvu unasonga Q3,,kumbe inasema discuss your answer in Q2😲unangalia wenye wako around unaona huwezi discuss nao coz index number yao ni mbaya afadhali yako😂unaenda Q4 wanauliza types of bonds na zenye unajua ni Eurobond na james bond pekee😂unauma kalamu😎kidogo chopi anaendia extra paper unashindwa ni kurogwa ama nini?😂kabla huyo kuketi mwingine anasimama na kusema Q7 iko na shida na hio pekee ndio ulicalculate ukapata 0.076456 unaamua kulalia meza😇na unaota kuna uncle wako ako jeshi atakuorganizia uingie after chuo😂😂unaamka ghafla unakumbuka uncle wako ni jeshi la wokovu😩💔🤦

Wewe🫵saa utajuaje nki post tena na hutaki Ku LIKE my page??😆😆😆😂

Follow me Pilot Zazi fun page

19/07/2025

💬Wenye mlifanya CRE 🙄Fruits za holy spirit ni maembe avocado ndimu na gani tena

Kupata bwana si ngumu...jifanye hupendi pesa na utaolewa kesho.😂🤣🤣
19/07/2025

Kupata bwana si ngumu...jifanye hupendi pesa na utaolewa kesho.😂🤣🤣

Dear God,k**a ni Blueband inachelewesha My Daily Bread, Leta tu ntapaka Avocado.
18/07/2025

Dear God,
k**a ni Blueband inachelewesha My Daily Bread, Leta tu ntapaka Avocado.

18/07/2025

Today l wanted to narrate my life story but l remembered you guys cry easily and the story is emotional😆😆😆😆😆

17/07/2025

Na tusichukiane, tukikutana tusalimiane, hii Dunia Sio yetu!

Address

Kitale

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pilot Zazi fun page posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share