Joking is MY HABIT

Joking is MY HABIT Joke everyday smile forever ♾️♾️

creator

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Andrew Kigen, Edinah Jepkemboi
12/08/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Andrew Kigen, Edinah Jepkemboi

Usiwai ambia bibi Yako eti wanawake ni wengi 😅😅,juu mmekosana sasa unamwambia hata akienda wanawake ni wengi unaeza oa h...
12/08/2026

Usiwai ambia bibi Yako eti wanawake ni wengi 😅😅,juu mmekosana sasa unamwambia hata akienda wanawake ni wengi unaeza oa hata watano ukitaka 😂😂..

Bro we unaongelelea population tu hatukatai wanawake ni wengi lakini sasa hebu fukuza huyo bibi Yako uingie ground kutafuta bibi 😅ndio utajua hiyo statement ni Yako na watu wa kwenu.

Ukianza kutafuta bibi mtu mwenye mtakalishana na yeye ndio utajua wanawake si wengi, endelea kumdharau ukimwambia akitaka aende eti utaenda uokote mwingine ulete ,enda uokote tukuje tuone 😂😂.

Ukipata mtu mmeskizana na yeye mmependana akakubali kusettle na wewe we mheshimu tu,huyo mwanamke si eti Hana kwenye anaeza enda si kiwete anaeza enda atengeneze maisha yake but anakaa na wewe juu aliamua na anakupenda

Wanawake ni wengi kwa kuwaona lakini si wengi wakuolewa.Ndio maana unaona mtu Ako na 50 years hana bibi mtu Ako 40 years hana mtoto juu walikua wanafikiria vitu ni rahisi huku inje na ukifuatilia utaambiwa kitambo alikuanga ameoa lakini akafukuza bibi .

💎💍😂 𝗡𝗶𝗹𝗶𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗺𝗮𝗵𝗮𝗹𝗶 𝗺𝗽𝗼𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗴𝘂 𝗮𝗻𝗮𝗶𝘀𝗵𝗶 𝗷𝘂 𝗮𝗹𝗶𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗮𝗻𝗮𝗻𝗶𝗮𝗺𝗯𝗶𝗮𝗻𝗴𝗮 𝘆𝗼𝘂'𝗿𝗲 𝗺𝘆 𝗼𝗻𝗲 𝗮𝗻𝗱 𝗼𝗻𝗹𝘆 𝗺𝗮𝗻 💪 😊.𝗛𝗶𝘆𝗼 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝘁𝘂𝗸𝗶𝘄𝗮 𝘁𝘂𝗺𝗲𝗿𝗲𝗹𝗮...
12/08/2026

💎💍😂 𝗡𝗶𝗹𝗶𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗺𝗮𝗵𝗮𝗹𝗶 𝗺𝗽𝗼𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗴𝘂 𝗮𝗻𝗮𝗶𝘀𝗵𝗶 𝗷𝘂 𝗮𝗹𝗶𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗮𝗻𝗮𝗻𝗶𝗮𝗺𝗯𝗶𝗮𝗻𝗴𝗮 𝘆𝗼𝘂'𝗿𝗲 𝗺𝘆 𝗼𝗻𝗲 𝗮𝗻𝗱 𝗼𝗻𝗹𝘆 𝗺𝗮𝗻 💪 😊.

𝗛𝗶𝘆𝗼 𝘀𝗶𝗸𝘂 𝘁𝘂𝗸𝗶𝘄𝗮 𝘁𝘂𝗺𝗲𝗿𝗲𝗹𝗮𝘅 𝗺𝗹𝗮𝗻𝗴𝗼 𝘂𝗸𝗮𝗯𝗶𝘀𝗵𝘄𝗮.𝗠𝗮𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝘂𝗻𝗴𝘂𝗹𝗶𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗱𝗶𝗿𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗻𝗶𝗸𝗮𝘀𝗶𝗸𝗶𝗮 ""𝐰𝐨𝐨𝐨𝐢 𝐤𝐮𝐦𝐞𝐤𝐮𝐣𝐰𝐨𝐨"" 𝗮𝗸𝗮𝗻𝗶𝘀𝗵𝗶𝗸𝗮 𝗮𝗸𝗮𝗻𝗶𝗮𝗺𝗯𝗶𝗮 𝗻𝗶𝗷𝗶𝗳𝗶𝗰𝗵𝗲 𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗯𝗲𝗱 🛏️ 𝗷𝘂 𝗶𝗹𝗶𝗸𝘂𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗻𝗴𝗹𝗲 𝗿𝗼𝗼𝗺 🙆𝗮𝘁𝗶 𝗻𝗶 𝗹𝗮𝗻𝗱𝗹𝗼𝗮𝗱 𝗻𝗮 𝗵𝗮𝗽𝗲𝗻𝗱𝗶 𝘁𝗲𝗻𝗮𝗻𝘁𝘀 𝘄𝗮𝗸𝗲 𝘄𝗮𝗸𝗶𝗹𝗲𝘁𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗼𝘆 𝗸𝘄𝗮𝗸𝗲 😢

𝗠𝗶𝗺𝗶 𝗵𝘂𝘆𝗼 𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗯𝗲𝗱 🛏️ 𝗱𝗲𝗺 𝗮𝗸𝗮𝗳𝘂𝗻𝗴𝘂𝗮 𝗺𝗹𝗮𝗻𝗴𝗼 𝗺𝘇𝗲𝗲 𝗮𝗸𝗮𝗶𝗻𝗴𝗶𝗮 𝗻𝗶𝗸𝗮𝘀𝗶𝗸𝗶𝗮 """""𝐁𝐞𝐛 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐤𝐮𝐦𝐢𝐬𝐬 𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐧𝐢𝐩𝐢𝐭𝐢𝐞 𝐤𝐚𝐛𝐥𝐚 𝐧𝐢𝐞𝐧𝐝𝐞 𝐣𝐮 𝐧𝐢𝐭𝐚𝐤𝐚𝐚 𝐰𝐢𝐤𝐢 𝐦𝐛𝐢𝐥𝐢 """"" 𝗺𝗮𝗸𝗼𝘀𝗮𝗮 😭 𝗶𝗹𝗲 𝘃𝗶𝘁𝗮 𝗶𝗹𝗶𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗵𝗶𝘆𝗼 𝗸𝗶𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮 𝗻𝗶𝗹𝗶𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗻𝗮𝗳𝗶𝗸𝗶𝗿𝗶𝗮 𝗶𝘁𝗮𝘃𝘂𝗻𝗷𝗶𝗸𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝗶𝗺𝗶 𝗻𝗶𝘃𝘂𝗻𝗷𝘄𝗲 𝗺𝗴𝗼𝗻𝗴𝗼 💔💔

𝗩𝗶𝗹𝗲 𝗮𝗹𝗶𝗲𝗻𝗱𝗮, 𝗱𝗲𝗺 𝗮𝗹𝗶𝗰𝗵𝘂𝗻𝗴𝘂𝗹𝗶𝗮 𝗮𝗸𝗮𝗻𝗶𝗮𝗺𝗯𝗶𝗮 "" 𝐁𝐞𝐛 𝐥𝐚𝐧𝐝𝐥𝐨𝐚𝐝 𝐚𝐦𝐞𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐭𝐨𝐤𝐚 𝐧𝐢𝐬𝐡𝐚𝐚𝐦𝐥𝐢𝐩𝐚🙆.𝗡𝗶𝗹𝗶𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗻𝗶𝗸𝗮𝗺𝘄𝘂𝗹𝗶𝘇𝗮 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗵𝗶𝘃𝘆𝗼 𝗻𝗱𝗶𝘃𝘆𝗼 𝗮𝗻𝗮𝗹𝗶𝗽𝗮𝗻𝗴𝗮 𝗿𝗲𝗻𝘁 𝗮𝗸𝗮𝗻𝗶𝗮𝗺𝗯𝗶𝗮 𝗵𝘂𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗲𝗹𝗲𝘄𝗮 😭

𝗞𝘂𝗺𝘄𝘂𝗹𝗶𝘇𝗮 𝗺𝗯𝗼𝗻𝗮 𝗮𝗻𝗮𝗻𝗶𝗳𝗮𝗻𝘆𝗶𝗮 𝗵𝗶𝘃𝘆𝗼 𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗺𝘂𝗮𝗰𝗵𝗮. 𝗔𝗸𝗮𝗻𝗶𝗮𝗺𝗯𝗶𝗮 "𝐍𝐢𝐭𝐨𝐤𝐞 𝐧𝐢𝐞𝐧𝐝𝐞 𝐧𝐚𝐦𝐬𝐮𝐦𝐛𝐮𝐚 𝐭𝐮 𝐛𝐮𝐫𝐞 𝐚𝐧𝐝 𝐢 𝐡𝐚𝐯𝐞 𝐧𝐨𝐭𝐡𝐢𝐧𝐠 𝐭𝐨 𝐨𝐟𝐟𝐞𝐫 "" 😭😭.

Follow Me Here 👉

Kuwa na lover kule highschool wasn't  easy,sasa kuna dem nilikuwa nampenda sana.♥️♥️💗🤪But unfortunately sikuwa nampenda ...
12/08/2026

Kuwa na lover kule highschool wasn't easy,sasa kuna dem nilikuwa nampenda sana.♥️♥️💗🤪
But unfortunately sikuwa nampenda peke yangu,kuna jamaa mmoja tulikuwa tunaenda competition naye💔 imagine clement wa chera 🥰
Uzuri mimi nilikuwa school prefect(Headboy👊)
Sasa nilienda nikaambia huyo jamaa asicheze na huyo dem k**a sio hivyo ataona kitu ntamfanyia🤣

Anytime nilimpata na huyo dem lazima angefanya manual work the whole of that week ya kuosha washrooms (choo)etc
Siku moja huyo jamaa alinikanyaga kimakosa nikamwambia anipanguze kiatu changu🔥huyo jamaa akanipanguza mbele ya huyo dem but akaniambia one day tutakuja patana tu!
Hatimaye sasa niliwin huyo dem,shule tuk**aliza sasa ni kusaka job Kwa hizi streets za Nairobi 😭🔥

Juzi niliitwa interview na kampuni ingine hapo industrial area mimi nikafaa vizuri nikabeba documents zangu❤️
Kufika kwa ile room ya interviewing hivi💔nikapata yule jamaa ndio interviewee wangu💔 weeuuh 😭😭💔

Mimi nilijitoa tu juu manze niliona aibu, 🤦🏿‍♀️😭... but kwenda kutoka nje huyo jamaa akaniita...🤦🏿‍♀️😭😭😭🤦🏿‍♀️

Nifikishie 500likes nilete part 2 nimalizie story 🔥🔥🔥💪🥰
Follow me 👉 Joking is MY HABIT

Aliniomba🙏 3k 🤑za salon  nkamtumia 8k 🤑 kidogo 😉nikaona 🥺 SMS 📨 kabla sijasoma 👀 akanicoll 🤙 akaniambia 🗣️ alikua anatak...
12/08/2026

Aliniomba🙏 3k 🤑za salon nkamtumia 8k 🤑 kidogo 😉nikaona 🥺 SMS 📨 kabla sijasoma 👀 akanicoll 🤙 akaniambia 🗣️ alikua anataka tu 3k 🤑akanirudishia 5k 🤑 alafu 😏 akaniambia 🗣️ niendeleze 🪴 nayo biashara 💵wakati tutaoana 💍 apate niko na vitu 💺 poa 📺 nimeangukia wife material wakuu ama mnaonaje 😂❤😂😍❤️🥰 advice fupi fupi hapo kwa comments please 🥰🤗 wacha niende church nikuombee upate k**a huyu Wangu🙏🥰 nifikishe 1k likes nilete part 2 🥰🥰

Follow me

Bread cost 60 per dayPer week 60 x 7=420Per month 420 x 30=12600Per year 12600 x 365days=4599000Huwezifikiria unatembea ...
10/08/2026

Bread cost 60 per day
Per week 60 x 7=420
Per month 420 x 30=12600
Per year 12600 x 365days=4599000
Huwezifikiria unatembea na v8 kwa tumbo😂😂😂🤣🤣😂🙈

Hesabu nilipata "A+" 😂😂😂🤣msinitusi please naumwa na kichwa 😭

Follow me 👉

If Daniel is Dan, Kenneth is Ken, Samson is Sam what is your name in Three letters🥱🤣🤣🤣
10/08/2026

If Daniel is Dan, Kenneth is Ken, Samson is Sam what is your name in Three letters🥱🤣🤣🤣

My only goal is to be better than I was yesterday 😏 I'm not in a competition with anyone 🥺😏
09/08/2026

My only goal is to be better than I was yesterday 😏 I'm not in a competition with anyone 🥺😏

Wanaume wenzangu mkitoka kwa nyumba saa zingine rudi kwa nyumba uone nini inaendelea. Ile Vita iko karibu kutokea hapa m...
09/08/2026

Wanaume wenzangu mkitoka kwa nyumba saa zingine rudi kwa nyumba uone nini inaendelea. Ile Vita iko karibu kutokea hapa mahali naishi labda kdf jeshi wakuje waamue! Mwanaume ametoka vizuri akaenda job after madakika akarudi kwa nyumba sijui kufanya nini, kumbe tayari bibi ashaingiza mwanaume mwingine kwa nyumba! Sasa wamekataa kufungua,Bibi analia tu na mwanaume wake amejaribu kurukia kwa balcony na hawezi 🔴🟡🟢
𝗨𝗻𝗮𝘀𝘄𝗲𝘁 𝗺𝗰𝗵𝗮𝗻𝗮 ☀️💦 𝘂𝗸𝗶𝘁𝗮𝗳𝘂𝘁𝗮 𝗽𝗲𝘀𝗮... 💸
𝗨𝘀𝗶𝗸𝘂 𝗯𝗮𝗱𝗼 𝘂𝗻𝗮𝘀𝘄𝗲𝘁💦... 𝗞𝘂𝗺𝗯𝗲 𝗵𝘂𝘀𝘁𝗹𝗲 𝗵𝗮𝗶𝗻𝗮 𝘀𝗵𝗶𝗳𝘁 𝗺𝗼𝗷𝗮! 🤣😂🫵😅 𝗪𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗲𝗹𝗲𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘀𝗶𝗰𝗵𝗲𝗸𝗲 𝗽𝗲𝗸𝗲 𝘆𝗮𝗼 ni 9th floor 😝😝 bwana na yeye ako kwa mlango anapumua k**a kifaru akiitana "Mwende fungua hapa haraka ngite!!! , Fingūa nyumba ni chaū ūkwīka!!!.. nashuku ni wakamba🤪🤪🤣🙈
ameenda kuita watu wa welding wabomoe mlango aingie kwake kutoa huyo mwanaume nae caretaker akamwambia hakuna mlango inabomolewa. Halafu naskia watu wakiambia Bwana ati huyo mwanaume hukuja sio Mara ya kwanza.....Eloi Eloi Eloi!! Kumeshikana na hii ni mushene ya meru,plz follow

Address

Kitale

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joking is MY HABIT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share